Kunywa Pombe asubuhi ni kosa kisheria?

Kunywa Pombe asubuhi ni kosa kisheria?

Pombe za alfajiri zina raha sana,,,juzi kati niliamka saa 8 usiku nikaenda kwa mama semeni kunywa pombe ya warioba,da!!!! ilipofika saa 1 asubui nikawa anrudi home,kilichonishangaza watoto walikuwa wakinishangilia sana barabarani!!
Hahaha mkuu ulitisha sana
 
Pombe za alfajiri zina raha sana,,,juzi kati niliamka saa 8 usiku nikaenda kwa mama semeni kunywa pombe ya warioba,da!!!! ilipofika saa 1 asubui nikawa anrudi home,kilichonishangaza watoto walikuwa wakinishangilia sana barabarani!!
Ukinywa asubuhi pia usiku unalala vizuri tofauti na usiku
 
Wakuu naomba kuuliza kunywa pombe asubuhi ni kosa kisheria?
Nazani wanaotengeneza kilevi wanajua wanaweza kukusaidia, kwa mimi tatizo ni kutoa harufu mbaya kwenye kinywa huku wewe uliekunywa hujui kwamba unanuka mdomo, na asubui mtu unakuwa na mawasiliano na watu wengi.
 
Ukinywa asubuhi pia usiku unalala vizuri tofauti na usiku
sure!! kimsingi mimi week-end huwa nakunywa pombe alfajiri sana,,,sitanii mara nyingi naanza pombe saa 8,9,au 10 alfair,nalamba mpaka saa 1,2, a3 asubui baada ya hapo unakuta mama ntilie wengi supu ishaiva,nalamba supu ya buku jero na chapati 3,then naenda home,nalala mpaka kwenye saa 10 jioni ndo usingizi umekuwa umeisha!!!!,,,,,,,,,
 
Nazani wanaotengeneza kilevi wanajua wanaweza kukusaidia, kwa mimi tatizo ni kutoa harufu mbaya kwenye kinywa huku wewe uliekunywa hujui kwamba unanuka mdomo, na asubui mtu unakuwa na mawasiliano na watu wengi.
Mimi nimetoka job naenda haya mawasiliano na nani sasa
 
Uzembe kivipi nimetoka kazini night shift
Uzembe kunywa muda wa asubuh muda wa uzalishaji mali..

Maana ukilewa asubuh asubuh unaweza ukajikuta unakua mzembe then uzururaji...

Kwaio
Unakua umefanya kosa la UZEMBE NA UZURULAJI automatically
 
Kuna siku nilikua likizo huko mkoani,ilikua siku ya alhamis nakumbuka,mshahara ukawa umetoka,kwenye mida ya saa 4 asubuhi tukaenda kula tungi na jamaa zangu flani,wakapita police na gari Lao kumbe wale jamaa zangu wanaelewa mchezo wakatoka nduki ,me police wakanitight eti nakunywa pombe muda wa kazi tukapelekana central wakanipa eti kesi ya udhururaji na uzembe,wale jamaa zangu tuliokua tunakula nao tangi wakaja kuniwekea dhamana.baadae kesi ikaisha juu kwa juu.
 
Mimi nimetoka job naenda haya mawasiliano na nani sasa
Oh hoo unaweza kutana na best ghafla tu siku nyingi hamjaonana unsongea na mtu unakuta pua yake inaelekeza pembeni apate oxygen safi sababu kwako umeshapiga pombe mic na supu basi hatari tupu
 
Hujajibu swali kunywa pombe sio kuwa alcoholic uliyoipost. Alcoholic ni mtu ambaye anakunywa pombe kupita kiasi na bila kuwajibika. Hujawahi kutumia panadol unajua ol ni kwasababu ya Alcohol? Jua kila kitu bila kiasi ni dhambi na kina madhara, na kila kitu kinachokucontrol kinakufanya uwe addicted ni haramu na kitakufilisi..hata kiwe kizuri cha aina gan
 
Back
Top Bottom