Kunywa pombe kuna faida gani??

binafsi sijaona faida ya pombe.zaidi yaku2fanya tuzidi kuwa masikini.
 
binafsi sijaona faida ya pombe.zaidi yaku2fanya tuzidi kuwa masikini.

Uchumi wetu unategea walevi, hata huduma za afya, shule hutegemea hao hao walevi na pombe zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…