Kunywa pombe ni starehe ama utumwa? Shuhudia mwenyewe

Kunywa pombe ni starehe ama utumwa? Shuhudia mwenyewe

Bia na kitimoto kilo mbili.
Mimi sinywi pombe ila nikiona mtu anakunywa pombe na nyama hasa kitimoto, huwa najisikia vizuri.
Bia ya baridi na kitimoto kilo mbili hiyo siyo dhambi, ila ukinywa bia kavu kavu ni tatizo.
Usinywe pombe tu kwasababu umenunuliwa kunywa pombe ukiwa na hela ya minyamanyama hata ukeshe hautalewa kamwe.
 
Wasabato bhana...[emoji4]
tapatalk_1586310796383.jpg
 
Pombe haina shida kabisa ndugu zangu,,, tatizo ni ulevi na hiyo ni ishu ya mmja mmja maana wengi tunakunywa pombe na sio walevi
 
Back
Top Bottom