Kunywa pombe ni starehe ama utumwa? Shuhudia mwenyewe

Kunywa pombe ni starehe ama utumwa? Shuhudia mwenyewe

Hapo wamefikia limit imebaki kukodoa mimacho tu [emoji23][emoji23]
Wakiongeza ni kumpa kazi mhudumu kupiga deki
Sio utumwa bali ni maisha waliyoamua
 
Kuna pombe(komoni, pure, gongo, kimpumu, ulanzi, lubisi, nk), bia, wine, K-Vant, Konyagi, nk.
Hao jamaa, umepatia sana, wakunywa gongo ndani ya chupa za bia!
Mnywa bia Bana, uso wake unang'aa, sio wa kichovuchovu hivyo!
 
Kwamba nimelewa ila ngoja nijikaze home wasijue kama nimelewa;

Mama: Wewe umelewa?

Mimi: No babe
 
Mimi:nikifika nyumbani nitajitahidi mama asijue nimelewa.

Mama:ndio umerudi?

Mimi : yes baby..
 
Wenzako hapo wana enjoy

Pombe raha yake uwe stim kama hivyo

Ova
Kuna kipindi unagonga unaona kabisa geji iko full mshale umelala ila sasa unakuta wenzako nao ndio kwanza wanapombeka. Huwa inakata stimu kinyama unatafuta kila njia pombe ikate uanze upya.
 
Back
Top Bottom