Ni hivi kimsingi polisi walitakiwe wamfungulie mashitaka kwa kosa la attempted suicide sasa si hawajafungua kesi kwaio wanataka kutumia chance hiyo wewe ukatoe hela huko polisi ili waifute kesi ingawa kimsingi kufuta kesi sidhani kama kuna gharama yeyote ile ya kulipia umeshasoma hapo mkuu..!!Jamani Lyamber, Kifulambute,naombenu ushauri hapa 'nisichokielewa wale polisi walionishughulikia kuniandikia PF3 wananipigia simu kila siku ili niende tukayamalize mambo,sasa sielewi hapa kuna procedure nyingine ya kufuata au ni mambo ya kuliana hela!'
Nimekusoma vizuri mkuu ngoja kesho niende nikawasukilize!Ni hivi kimsingi polisi walitakiwe wamfungulie mashitaka kwa kosa la attempted suicide sasa si hawajafungua kesi kwaio wanataka kutumia chance hiyo wewe ukatoe hela huko polisi ili waifute kesi ingawa kimsingi kufuta kesi sidhani kama kuna gharama yeyote ile ya kulipia umeshasoma hapo mkuu..!!
ingawa kimsingi kufuta kesi sidhani kama kuna gharama yeyote ile ya kulipia umeshasoma hapo mkuu..!!
Yeah jamhuri lakini si polisi hao hao..ndo wanaopeleka mahakamani ila uko sahihi mkuu na umenkumbusha ni republic pia hao hao watakao futa..!!Attempted suicide ni kesi inayofunguliwa na jamhuri. Huyu ndugu nadhani hana mamlaka kufuta kesi manake sio yeye alieifungua. Nadhani ndo maana polisi wanataka wamkamue kiduchu