Mshikaji baada ya kupigwa sana kalenda na mrembo. Siku alipokutana na mrembo tena kwa sauti ya kubwmbeleza akaomba atiliwe japo mkojo kwenye kifuu
Mrembo akamwambia, kama ni fantasy yako poa ila kesho kweli mi nakuja, saa 12 jion
Jamaa alipofika saa moja usiku demu hajafika akajua ndio yaleyale, na huku dushelele amefura kwa hasira. Akachukua kile kifuu cha mkojo. Akaingiza dushelele na kuiambia " kunywa kunywa supu baba, nyama utakula siku yoyote tu"