Akili Unazo!
JF-Expert Member
- Feb 18, 2009
- 3,930
- 4,912
Hapo naona ni suala la kulinda status kwenye jamii zaidi, vinginevyo kwa dunia ya sasa jinsi ilivyooza watu wengi wasingekubali kufunga ndoa.
Ya nini kufunga ndoa na mtu ilhali historia inaonesha alishawahi kuwa na mabwana zaidi ya 10? si ni mambo ya kula makombo hapo? Halafu mtu unatembea barabarani kifua mbele kwamba una mke kumbe wakati huo huo kuna mtu tayari keshakuzunguka.
Mmmmm!

wewe umewazunguka wangapi???? hata wewe pia ni makombo unless uko bikra....
maoni yangu ya sababu zitakazonifanya niolewe.... kwanza for companionship.... pili nataka niwe na watoto ambao watalelewa kwenya familia yenye baba na mama... life is sweet if you share it with your friend!! sitaki kuzeeka mungu akinijaalia niwe mpweke....sina hata wa kunikuna mgongo jamani duh!!!
jamani mbona mnanitenga sana sijui hata sehemu kama nataka ni mimi nitoe labda hoja yangu ili tuijadili na nipate mawazo mbadala nielekezeni basi ni wapi?
Mara ana kidumu!! mara wanamtumia, mara hakutaki tena, mara anakuita ATM
Good!!
Hayo yote huwezi kuyapata mpaka uolewe?Kwa ni mpenzi wako hawezi kuwa baba wa mtoto?au hawezi kuwa company yako?
au mpenzi siyo friend?
Bado nauliza nini faida ya kuoa au kuolewa? Make kwenye ndo ndo kuna kila aina ya anasa?utasikia siku hizi jamaa anachelewa kurudi nyumbani mara hanipi haki ynagu ya msingi mara anasaidia sana kwao mara hanipendi mara ni mlevi mara ananyumba ndogo mara anamafiga matatu? Yote ndani ya ndoa?
maoni yangu ya sababu zitakazonifanya niolewe.... kwanza for companionship.... pili nataka niwe na watoto ambao watalelewa kwenya familia yenye baba na mama... life is sweet if you share it with your friend!! sitaki kuzeeka mungu akinijaalia niwe mpweke....sina hata wa kunikuna mgongo jamani duh!!!
Wakuu kukicha kuna matatizo yanayotokana na maamuzi ya kuolewa au kuoa.
Hivi kunafaida gani ya kuoa au kuolewa?ni kwa ajili ya kutimiza agano maandiko ya mungu?
Au twaowana kwa ajili ya kupata watoto?Ila hili si sahihi kwa kuwa kuna watoto wanaopatikana hata nje ya ndoa?
Au ni kwa sababu ya kulinda imani na desturi za mababu na wazazi wetu?
Ni hasa faida ya haya maamuzi?
Mheshimiwa sana Ndugu hii sasa ni sexism,yaani makombo ale mwanaume na mwanaume je ambaye kabla ya ndoa anakuwa keshabanjuka na midemu lukuki mbona kina mama hawasemi?Hapo naona ni suala la kulinda status kwenye jamii zaidi, vinginevyo kwa dunia ya sasa jinsi ilivyooza watu wengi wasingekubali kufunga ndoa.