Tamaduni desturi na mila zetu zina miiko yake na kuzilinda ili kulinda identify sio umbeyaNdiyo hapoutakapojua kwamba.
1. Ushenzi hauna rangi. Kuna washenzi weusi na weupe.
2. Suala la mtukuamuakuolewa na mzungu au muafrika, mzee au kijana ni suala la mtu binafsi, kuliingilia ni umbeya.
Nimekwambia kila mzungu kakuzidi akili? Akili ya kitumwa ni kuanzisha thread kama hizi.Sio kila mzungu akuzidi akili we mweusi huu ndo utumwa!
Unapoongelea "zetu" unamaana gani?Tamaduni desturi na mila zetu zina miiko yake na kuzilinda ili kulinda identify sio umbeya
BAHATI HAIJI MARA MBILIHiyo bahati ipite tu lkn steyn hapana Sijawahi kujutia hata siku moja kumkatalia steyn
Tatizo watu weusi ni washambaaa alafu maskini wanafata pesaaaa
Sisi kama waafrika lzima tuondokane na inferiority nature tuliyonayo kwa kuona kuwa kila cheupe ndo kizuri! Sijaridhika na namna unavyotoka madani!Unapoongelea "zetu" unamaana gani?
Jamiihaiko homogeneous,sehemu mbali mbali zina tamadunimbali mbali.
Kuna baadhi yetu Wakristo hawaruhusiwi kuoa mke zaidi ya mmoja.
Kuna wengine Waislamuwanaoa mpaka wanne.
Kuna wengine wa bara, wengine wa pwani.
Wengine wakulima,wengine wafugaji.
Utatakaje wote wawe na tamaduni sawa?
Kwani mtu kuoa au kuolewa na mzungu maana yake ni kukubali kila cheupe ndiyo kizuri?Sisi kama waafrika lzima tuondokane na inferiority nature tuliyonayo kwa kuona kuwa kila cheupe ndo kizuri! Sijaridhika na namna unavyotoka madani!
Najua hilo huwa lipo! We umetoka nje ya key! Mada imebase kwa wale wenye kujichetua kwa ulimbukeni Wa uzungu!Kwani mtu kuoa aukuolewa namzungu maana yake ni kukubali kila cheupe ndiyo kizuri?
Mbona unachanganya mamboambayo hayana uhusiano?
Unaelewa kwamba wewe kuona hii non-issue kwamba ni issue ndiyokunaweza kuwa inferiority complex kulikounavyosema wewe?
Yaani wewe una unyonge sana moyoni kuhusu wazungu, kiasikwamba mtu akioa au kuolewa na mzungu tu,unaona anadharau Waafrika.
Wakati inawezekana mtu akaoa au kuolewa na mzungu bila kudharau waafrika.
Kama mtu anavyoweza kuoa au kuolewa na Wasukuma bila kudharau Wachaga.
Imetokeatukwamba mtu aliyekutana naye ni Msukuma, na si Mchaga.
Ushawahi kufikiri hivyo?
Hata kwa wao, wakiamua kuishi hivyo kwa matakwa yao wewe kinachokusumbua kipi?Najua hilo huwa lipo! We umetoka nje ya key! Mada imebase kwa wale wenye kujichetua kwa ulimbukeni Wa uzungu!
I wont stoop down to your level.Dalili ya utumwa ni kutoka nje ya key!
Una hakika mzungu ndo kagundua simu!?
Ha ha ha,Hata kwa wao, wakiamua kuishi hivyo kwa matakwa yao wewe kinachokusumbua kipi?
Wewe mtu akikwambia ni limbukeni wa Ma Nigga ndiyo maana umeweka picha ya Puff Daddy, mtu anayesemekana kuwa ni mse.nge New York, na hivyo wewe nawe una vichembechembe vya us.enge, na ndiyo maana unataka kuingilia ndoa za watu, una njozi za kuolewa wewe, utafurahia?
Dalili ya kukosa hoja hizoHata kwa wao, wakiamua kuishi hivyo kwa matakwa yao wewe kinachokusumbua kipi?
Wewe mtu akikwambia ni limbukeni wa Ma Nigga ndiyo maana umeweka picha ya Puff Daddy, mtu anayesemekana kuwa ni mse.nge New York, na hivyo wewe nawe una vichembechembe vya us.enge, na ndiyo maana unataka kuingilia ndoa za watu, una njozi za kuolewa wewe, utafurahia?
Hoja ikiwekwa chini ya pua yako utaiona?Dalili ya kukosa hoja hizo
We jamaa ungefaa sana kuwa puppet Wa wakoloni maana huoni hata uafrika hapa ninaoutetea ,Hoja ikiwekwa chini ya pua yako utaiona?
Nakuonesha ubaya wa kuingilia maisha ya watu na kuwatusi bila hata kujua wanachotaka maishani mwao.
Mtu maisha yakeyote anataka kuolewa au kuoa mzungu.
Hajakuibia, hajakuomba hela,kafanya mambo ayke kaoa au kaolewa na mzungu, wanakaa kwao,shida au raha zao.
Wewe tatizo lako nini?
NdioAnaitwa steyn
Kama tatizoni materials, mbona hata Wafrikakwa Waafrika wanaoana kwa mapenziya materials?We jamaa ungefaa sana kuwa puppet Wa wakoloni maana huoni hata uafrika hapa ninaoutetea ,
Cha msingi je ni mapenzi kweli au kuna influence ya materials na psychology inahusika!!?wakeup and smell the coffee assimilate!