Unaniambia matusi hayanisaidii wakati wewe unanitukana mimi mpagani.
Halafu unaonesha usivyo na elimu unapomuita mtu asiyeamini Mungu wa aina yeyote mpagani, wakatimpagani ni mtu anayeamini Mungu/Miungu/Mizimu.
Wewe unayeamini kuwepo kwa Mungu uko karibu na mpaganikuliko mimi.
Na kwa kweli, kwa wale wanaoamini miungu tofauti nawe, wengi wanakuona wewe ndiye mpagani wao.
Soma kidogo upanue mawazo. Uelewe upagani nikitugani na jinsi watu waliostaarabika wa dunia ya leo wanavyoona neno hilohalifaikutumika.
Unawakashifu wazungu, na kutetea Uafrika, kwa kumuita mtu mwingine mpagani.
Wakatihujuikwamba wazungu ndio waliotumia neno hilo kukashifu dini na mila za Waafrika.
Hujui unaenda au unarudi!
Acha ushamba na umbeya.