Kuoa au kuolewa na mzungu ni sifa!

Kama tatizoni materials, mbona hata Wafrikakwa Waafrika wanaoana kwa mapenziya materials?

Na kamawamekubalianamapenzi ya materials, tatizo lako nini?

Ulitaka kuolewa wewe?
Matusi yakusaidii mpagani! Najua utakuwa una kasumba hiyo ya kupenda vya nje
 
Matusi yakusaidii mpagani! Najua utakuwa una kasumba hiyo ya kupenda vya nje
Unaniambia matusi hayanisaidii wakati wewe unanitukana mimi mpagani.

Halafu unaonesha usivyo na elimu unapomuita mtu asiyeamini Mungu wa aina yeyote mpagani, wakatimpagani ni mtu anayeamini Mungu/Miungu/Mizimu.

Wewe unayeamini kuwepo kwa Mungu uko karibu na mpaganikuliko mimi.

Na kwa kweli, kwa wale wanaoamini miungu tofauti nawe, wengi wanakuona wewe ndiye mpagani wao.

Soma kidogo upanue mawazo. Uelewe upagani nikitugani na jinsi watu waliostaarabika wa dunia ya leo wanavyoona neno hilohalifaikutumika.

Unawakashifu wazungu, na kutetea Uafrika, kwa kumuita mtu mwingine mpagani.

Wakatihujuikwamba wazungu ndio waliotumia neno hilo kukashifu dini na mila za Waafrika.

Hujui unaenda au unarudi!

Acha ushamba na umbeya.
 
Udhaifu wako niliouona hapa ni kuwa hukubali kushindwa!
Anyway sitaki kuingiza hoja ya Dini hapa! ninauliza ni hivi kasumba ya kuoa ama kuolewa na mzungu kwanini inachukuliwa kuwa ni ufahari na si mapenzi tu!

Nimetoa mifano ya wasomi wengi Wa industrial age waliorudi toka masomoni na wake Wa kizungu na Ku reject African values!

Rejea "songs of lawino and akoli"
 
Kiranga hujaamka tu unijibu au upi jukwaa la dini
 
Mkuu hata hao wazungu hasa wakike wanaona fahari sana kudate waafrika, wewe nenda Sauti za busara ujionee mambo hayo
Uzuri Wa wazungu wako real wanajua watakacho on love merits, sisi weusi ni opportunistic wengi wetu!
 
Mzee@kiranga the atheist bado umemlalia mzungu!?
 
Industrial age ni nini na ilikuwa mwaka gani mpaka mwaka gani?

Watu wameoa wanavyotaka, wewe kinachokuwasha nini?

Ulitaka kuolewa wewe?
 
Wasichana wengi walio olewa na wazungu ni malaya period!
 
Industrial age ni nini na ilikuwa mwaka gani mpaka mwaka gani?

Watu wameoa wanavyotaka, wewe kinachokuwasha nini?

Ulitaka kuolewa wewe?
Kumbe mtupu hivi kihistoria hujui industrial age wala hutambui kuwa tupo informative age!

Utakuwa mnufaika Wa ukoloni socially
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…