mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,718
- 7,784
Wa kutumia pesa zako ukitoa mama, ni mke wako. Msininukuu vibaya, namaanisha mke uliyemtoa usichana ukaiona damu yake. Mwisho wa nukuu.
Naungana na ndugu zangu Natafuta Ajira pamoja na R Heriel. Mke ambaye hukumkuta bikra, si wako na hatokuwa wako.
Faida nimeona nyingi sana, ingawa hasara zipo chache. Hata akichepuka mimi nitabaki kuwa her real hero. Na tukumbuke tu kuwa 'awali ni awali', hakuna awali mbaya.
Nilifikia haya baada ya ku adopt njia ifuatayo several years ago:
Judging a woman harshly based on her past. Mimi hata kwa 'demu' tu wa kupoteza naye muda huwa na trace past yake, what about my wife😁?
Je, alitumika sana? Ok siyo shida, alitumika nyuma au mbele pekee?
Alikuwa mtu wa companies na hang outs?
Marafiki zake ni wa aina gani? And so many things.
Yaani mtu at 20+ achezewe huko halafu at 28+ nije nimuoe mimi? Nile makombo? Hell no!
Binafsi naona na nashauri wadogo zetu ambao hawajaoa, wajitahidi waoe vigori. 'Awali ni awali' na hakuna'ga' awali mbaya.
Natafuta Ajira
Robert Heriel Mtibeli
Mimi najivunia sana ninyi kuwa Watanzania. Naamini bado vijana wenye akili mpo.