Kuoa Mnyama

Kuoa Mnyama

Kama umefuga mnyama kama vile paka, mbwa au nyoka. Je unaweza kumuoa?
zakumi umedata na hizo kandambili ulizovaa ndo kabisaaaaaaaaaaa

yaani nimecheka hadi basi

what were you thinking?
 
Hivi zakumi unafikiri ukioa mnyama hataenda nje ya ndoa. Believe me atakusaliti tu especially akikutana na mnyama mwenzake. Ila am sure dhambi kama hii hata Mnyazi Mungu anahaha kutafuta adhabu mana haoni inayofaa katika orodha yake. we oa tu.

Akinisaliti si nitamfanya kitoweo.
 
Jamani humo kuna watu wanaiba passwedi za wenzao. Hii topiki sikuanzisha mimi. Nawaombeni msamaha kwa yaliotokea. Hawa jamaa wa wikileaks wapo humu pia.
 
haaaa!!! haaaa!!! haaaa!!! wewe???? mbona wataka toroka tulia hapa hap,,,,sasa wataka kuniambia huyo mtu kaiba password na miguu yako pia kaibaaaaa khaaa!!!!!!!! usifanye ungo mwisho wa mwaka huu mpenzi shauriyo,,,

I blame the wikileaks. Mcha Mungu kama mimi siwezi kuzungumza mambo haya. Kwikwikwi.
 
Back
Top Bottom