naenda kukusemea kwa mungu,Nikikuomba uchumba utanikatalia, nikileta hoja ya beasts unasema the world is over now
Nikikuomba uchumba utanikatalia, nikileta hoja ya beasts unasema the world is over now
zakumi umedata na hizo kandambili ulizovaa ndo kabisaaaaaaaaaaaKama umefuga mnyama kama vile paka, mbwa au nyoka. Je unaweza kumuoa?
Hivi zakumi unafikiri ukioa mnyama hataenda nje ya ndoa. Believe me atakusaliti tu especially akikutana na mnyama mwenzake. Ila am sure dhambi kama hii hata Mnyazi Mungu anahaha kutafuta adhabu mana haoni inayofaa katika orodha yake. we oa tu.
:angry:
oh my hash dont get hungry its only a joke,,,,,,
bahati yake umesema mapema l.o.l
weee you said u a ill....so what a u doing now,,,,
nafuatisha ushauri wako....lipton na........
Jamani humo kuna watu wanaiba passwedi za wenzao. Hii topiki sikuanzisha mimi. Nawaombeni msamaha kwa yaliotokea. Hawa jamaa wa wikileaks wapo humu pia.
haaaa!!! haaaa!!! haaaa!!! wewe???? mbona wataka toroka tulia hapa hap,,,,sasa wataka kuniambia huyo mtu kaiba password na miguu yako pia kaibaaaaa khaaa!!!!!!!! usifanye ungo mwisho wa mwaka huu mpenzi shauriyo,,,