Kuoa mwanamke Feminist ni kukaribisha uzao wa watoto wasio na maadili

Kuoa mwanamke Feminist ni kukaribisha uzao wa watoto wasio na maadili

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Katika maisha kosea vyote ila usikosee kuoa , ukikosea kidogo mtu sahihi wa kumuoa basi umejiangamiza wewe mwenyewe, uzao wako na mali zako.

Katika wanawake wanaopaswa kuepukwa kwa haraka sana basi ni mwanamke mwenye chembe chembe za u feminist , aisee mwanamke wa dizaini usijishauri mara mbili mbili chapa lapa fasta.

Ukishaoa mwanamke feminist kama madhara hayatokuwa kwako basi yataanza kuonekana kwa vizazi vyako.

Mtoto wa kike aliyelelewa na mama yake ambaye ni feminist , tegemea huyu mtoto kwanza kuja kuwavunjia heshima muda wowote saa yoyote kama mtaenda kinyume na matakwa yake .

Mtoto wa kike aliyelelewa na mwanamke feminist, tegemea ndoa yake kuwa na misukosuko isiyokwisha, tegemea huyu mtoto kuwa msagaji, tegemea huyu mtoto kutojua majukumu yake yeye kama mwanamke ikiwemo kupika ,heshima kwa mumewe na wakweze.

Tarajia huyu mtoto kuzalishwa hovyo tu bila kuolewa na yeyote.

Asilimia kubwa ya wanawake wanaoua wanaume wao ni wale mafenist au wamelelewa na mama ambaye ni Feminist.

Watoto wa kiume waliolelewa na mama ambaye ni feminist ,hawa hawaujui mfumo dume kabisa, tarajia huyu mtoto mbeleni kuwa shoga , laini laini, kutokuwa na misimamo ya kiume, kupelekeshwa na mke wake na yeye kuchukulia jambo la kawaida mpaka pale maji yatakapomfila shingoni, hatoweza kuwa baba bora, hatoweza kufanya majukumu yake kama baba, ndiye dizaini ya baba ambaye hajiwezi kwa kila kitu, hata kufunga kitanda mpaka amuite fundi.

Epukeni wanawake ma feminist mtaepuka mengi sana kwenye maisha yenu.
 
Unachuki binafsi na mafeminist..au umechukizwa na yule madam mfeminist aliyesema yeye hampikii wala hamfulii mumewe kwa kuwa hafanyi kazi zisizo na malipo na hata hivo huyo mwanaume anamikono na alikuwa akizifanya hizo kazi hata kabla hawjakutana. Sio feminist wote wako hivo. Mama mongela mwenyew feminist na anandoa yake ya miaaka kibao
 
Screenshot_20240926-220236.jpg
 
Katika maisha kosea vyote ila usikosee kuoa , ukikosea kidogo mtu sahihi wa kumuoa basi umejiangamiza wewe mwenyewe, uzao wako na mali zako...
Sio kweli.

Feminist hawapingani na haki na wajibu wa masuala ya kibaiolojia (jinsi) bali wanachohitaji ni haki na usawa kwenye mgawanyo wa majukumu (yasiyo ya kimaumbile)

Mfano baadhi ya makabila mwanamke haruhusiwi kabisa kuhoji jambo lolote, haruhusiwi kuzungumza mbele ya wanaume, haoewi haki ya kupata elimu, kimiliki ardhi nk.

Tujitahidi kutofautiasha masuala yanayohusu jinsi na jinsia.

Feminist wanaogopwa bure. Kwa uhalisia ni wanawake wenye msimamo na wanaojua majukumu yao kama mke, mama. Hawayumbushwi kirahisi
 
Sio kweli.
Feminist hawapingani na haki na wajibu wa masuala ya kibaiolojia (jinsi) bali wanachohitaji ni haki na usawa kwenye mgawanyo wa majukumu (yasiyo ya kimaumbile)...
Ndivyo mnavyoongopeana kwenye vikao vyenu?
 
Unachuki binafsi na mafeminist..au umechukizwa na yule madam mfeminist aliyesema yeye hampikii wala hamfulii mumewe kwa kuwa hafanyi kazi zisizo na malipo na hata hivo huyo mwanaume anamikono na alikuwa akizifanya hizo kazi hata kabla hawjakutana. Sio feminist wote wako hivo. Mama mongela mwenyew feminist na anandoa yake ya miaaka kibao
Ukiona ndoa ya feminist imedumu hapo kuna mawili 1)Huyu mwanaume ana ukwasi 2)Huyu mwanaume goi goi ,yani hasemi lolote mbele ya mke wake , tegemea pia kuzalisha watoto wa kiume goi goi.
 
Feminists ni janga la dunia. Hawafai kabisa.
Kabisa yani.

Kwanza ni wabinafsi, ni mabingwa wa kulilia haki sawa ukiwaambia tuanze haki sawa kwa kupeana zamu ya kuacha pesa ya matumizi nyumbani hawataki ,sasa hapo nashindwa kuelewa hiyo 50-50 wanataka vipi wakati likija suala la kutoa pesa hawataki.
 
Tujitahidi kutofautiasha masuala yanayohusu jinsi na jinsia.

Feminist wanaogopwa bure. Kwa uhalisia ni wanawake wenye msimamo na wanaojua majukumu yao kama mke, mama. Hawayumbushwi kirahisi
Hebu tupe hiyo tofauti kati ya "masuala yanayohusu jinsi na jinsia"?

Na pia kaa ukifahamu Kuna tofauti kubwa kati ya kuogopwa na kuepukwa, hao feminists huwa tunawaepuka na wala hatuwaogopi na tunawaepuka kwa sababu ni wanawake ambao hawana thamani, yes feminists hamna thamani kwa mwanaume anayehitaji ndoa yenye furaha na amani, nyie feminists hama haiba ya kike(feminity) mko too masculine, hamna utii kwa mwanaume utii kwenu mnaita ni utumwa, hamjui mipaka kati ya mume na mke humo ndani mnataka na nyie muwe na mamlaka sawa au zaidi ya mume... Sasa mwanamke kama wewe wa nini??? Obvious lazima ntakuepuka tu sababu you are valueless woman marriagewise.
 
Unachuki binafsi na mafeminist..au umechukizwa na yule madam mfeminist aliyesema yeye hampikii wala hamfulii mumewe kwa kuwa hafanyi kazi zisizo na malipo na hata hivo huyo mwanaume anamikono na alikuwa akizifanya hizo kazi hata kabla hawjakutana. Sio feminist wote wako hivo. Mama mongela mwenyew feminist na anandoa yake ya miaaka kibao
As usual mafeminists huwa mmetawaliwa na mihemko tu na hamnaga logical cognizance mnapokuwa kwenye mijadala kama hii halafu eti ndio mnajionaga nyie ni wanawake smart..😁😁, ona kama wewe hapo badala ya kupangua hoja hili kuonesha kama hayo aliyoandika ni kweli au si kweli wewe umekimbilia kuleta assumptions ambazo hazina kichwa Wala miguu eti ana chuki na feminists, kwa hiyo leo hii hapo wewe hata baba yako mzazi akikosoa mwenendo wako wa kimaisha kwamba Kuna mahali hauko sawa utamuona kama ni mtu mwenye chuki na wewe? Kwamba siku hizi mtu ukikosoa jambo ni lazima uwe na chuki na mlengwa wa jambo Hilo au? Akili zako ni ndogo sana, na umezidi kuthibitisha hili kwa namna ulivyomuongelea kwa kumtetea huyo feminist uchwara ambaye ameshika akili za wanawake wajinga na wanazivunja ndoa zao Kila leo.
 
Kabisa yani.

Kwanza ni wabinafsi, ni mabingwa wa kulilia haki sawa ukiwaambia tuanze haki sawa kwa kupeana zamu ya kuacha pesa ya matumizi nyumbani hawataki ,sasa hapo nashindwa kuelewa hiyo 50-50 wanataka vipi wakati likija suala la kutoa pesa hawataki.
Huo mfano umezoeleka, njoo kwenye suala la military recruitment...

Mara nyingi huko jeshini wanaoajiriwa wengi huwa ni wanaume lakini hata siku Moja huwezi kuskia Hawa mafeminists wakilalamika kwamba kwanini kwenye nafasi za jeshi Kuna upendeleo wa wanaume yaani wanawake wanaajiriwa kwa uchache sana kulinganisha na wanaume..?

Ila Sasa njoo kwenye hizi ajira za makampuni na mataasisi sijui Voda,Tanesco,TRa, NGOs uone jinsi wanavyopiga kelele za kutaka kuwepo kwa usawa kwenye suala Zima la kuajiri....
 
Back
Top Bottom