Kuoa mwanamke Feminist ni kukaribisha uzao wa watoto wasio na maadili

Kuoa mwanamke Feminist ni kukaribisha uzao wa watoto wasio na maadili

Huo mfano umezoeleka, njoo kwenye suala la military recruitment...

Mara nyingi huko jeshini wanaoajiriwa wengi huwa ni wanaume lakini hata siku Moja huwezi kuskia Hawa mafeminists wakilalamika kwamba kwanini kwenye nafasi za jeshi Kuna upendeleo wa wanaume yaani wanawake wanaajiriwa kwa uchache sana kulinganisha na wanaume..?

Ila Sasa njoo kwenye hizi ajira za makampuni na mataasisi sijui Voda,Tanesco,TRa, NGOs uone jinsi wanavyopiga kelele za kutaka kuwepo kwa usawa kwenye suala Zima la kuajiri....
Wabinafsi sana ,roho mbaya, tamaa.
 
Sio kweli.

Feminist hawapingani na haki na wajibu wa masuala ya kibaiolojia (jinsi) bali wanachohitaji ni haki na usawa kwenye mgawanyo wa majukumu (yasiyo ya kimaumbile)

Mfano baadhi ya makabila mwanamke haruhusiwi kabisa kuhoji jambo lolote, haruhusiwi kuzungumza mbele ya wanaume, haoewi haki ya kupata elimu, kimiliki ardhi nk.

Tujitahidi kutofautiasha masuala yanayohusu jinsi na jinsia.

Feminist wanaogopwa bure. Kwa uhalisia ni wanawake wenye msimamo na wanaojua majukumu yao kama mke, mama. Hawayumbushwi kirahisi
Hakuna mwanaume mjinga anaweza kuzingatia unachokiandika mwanamke kwenye mada kama hizi.

This matter is for men and we listen from man's point of view.
 
Unachuki binafsi na mafeminist..au umechukizwa na yule madam mfeminist aliyesema yeye hampikii wala hamfulii mumewe kwa kuwa hafanyi kazi zisizo na malipo na hata hivo huyo mwanaume anamikono na alikuwa akizifanya hizo kazi hata kabla hawjakutana. Sio feminist wote wako hivo. Mama mongela mwenyew feminist na anandoa yake ya miaaka kibao
Ana chuki binafsi huyu, atakuja kufa kwa stress sababu ya kusimanga wanawake
 
Unachuki binafsi na mafeminist..au umechukizwa na yule madam mfeminist aliyesema yeye hampikii wala hamfulii mumewe kwa kuwa hafanyi kazi zisizo na malipo na hata hivo huyo mwanaume anamikono na alikuwa akizifanya hizo kazi hata kabla hawjakutana. Sio feminist wote wako hivo. Mama mongela mwenyew feminist na anandoa yake ya miaaka kibao
huyo anajiongelesha tu...angenipata angefurahi...dada wa kufua anakuja kama kawa na mpaka boxer anafua....msosi najipikia mama fua anakuja kuosha vyombo vyangu....
 
Lakini anachopambania mdada wa watu ni ukweli mtu mifumo na mila kandamizi zimewakaa sana watu hasa wanaume wanaona wanaingiliwa nafsi zao na wanawake wanaona ni sawa kutendewa..cha ajabu hata wanawake waotetewa hawako upande wake..kipengele hiki cha Jinsi na jinsia (usawa wa kijinsia) hado hakijaeleweka vyedi katika jamii.usawa anaoupambania ni katika nyanja za kiuchumi.kisiasa na kijamii na si kibaolojia kama watu wengine wanavyowaaminisha watu ..bado tunaishi tunaishi humo humo kwenye mila kandamizi ili usionekane mkaidi ktk jamii
 
huyo anajiongelesha tu...angenipata angefurahi...dada wa kufua anakuja kama kawa na mpaka boxer anafua....msosi najipikia mama fua anakuja kuosha vyombo vyangu....
As long as mumewe anamuelewa na wanaamani wanaelewana mtu mwingine hatakiwi kukerekwa na life style yao. Ila ww ukifanya hayo no body will understand you
 
As usual mafeminists huwa mmetawaliwa na mihemko tu na hamnaga logical cognizance mnapokuwa kwenye mijadala kama hii halafu eti ndio mnajionaga nyie ni wanawake smart..😁😁, ona kama wewe hapo badala ya kupangua hoja hili kuonesha kama hayo aliyoandika ni kweli au si kweli wewe umekimbilia kuleta assumptions ambazo hazina kichwa Wala miguu eti ana chuki na feminists, kwa hiyo leo hii hapo wewe hata baba yako mzazi akikosoa mwenendo wako wa kimaisha kwamba Kuna mahali hauko sawa utamuona kama ni mtu mwenye chuki na wewe? Kwamba siku hizi mtu ukikosoa jambo ni lazima uwe na chuki na mlengwa wa jambo Hilo au? Akili zako ni ndogo sana, na umezidi kuthibitisha hili kwa namna ulivyomuongelea kwa kumtetea huyo feminist uchwara ambaye ameshika akili za wanawake wajinga na wanazivunja ndoa zao Kila leo.
Aloo umepaniki sana broo povu lote la nn akati ww unamaisha yako yeye anayake mm ninayakwangu,pamoja na mfano wa Mongela bado umekaza fuvu..
Sio kweli.

Feminist hawapingani na haki na wajibu wa masuala ya kibaiolojia (jinsi) bali wanachohitaji ni haki na usawa kwenye mgawanyo wa majukumu (yasiyo ya kimaumbile)

Mfano baadhi ya makabila mwanamke haruhusiwi kabisa kuhoji jambo lolote, haruhusiwi kuzungumza mbele ya wanaume, haoewi haki ya kupata elimu, kimiliki ardhi nk.

Tujitahidi kutofautiasha masuala yanayohusu jinsi na jinsia.

Feminist wanaogopwa bure. Kwa uhalisia ni wanawake wenye msimamo na wanaojua majukumu yao kama mke, mama. Hawayumbushwi kirahisi
Waeleze wale waliokaza mafuvu wasitumie mihemko warudi darsani waje na fact kuhusu ufeminist..sio kila wakiona hilo neno wanakuwa na kapicha kao ka kishetani ka kupingana na mwanaume
 
Hakuna mwanaume mjinga anaweza kuzingatia unachokiandika mwanamke kwenye mada kama hizi.

This matter is for men and we listen from man's point of view.
Mwamba kama mwamba tuko pamoja yaani eti mwanaume aache nafasi yake asimame kwenye matakwa ya mafeminist na mashoga? How come?
 
Aloo umepaniki sana broo povu lote la nn akati ww unamaisha yako yeye anayake mm ninayakwangu,pamoja na mfano wa Mongela bado umekaza fuvu..
Ujinga mtupu ndio umekujaa kwenye Hilo vichwa lako, umekuja na comment yako ya mihemko ambayo Haina kichwa Wala miguu, na Mimi nikakupa mfano Ina maana leo hii baba yako mzazi akikosoa mwenendo wa maisha yako utamuona kwamba ana chuki na wewe??

Nyie vijana ambao mmemezwa na mfumo jike mna matatizo sana ya kifikra, yaani mmekuwa hamna tofauti na vibinti ambayo ndio viko kwenye adolescence, mko na mihemko tu muda wote...

Kuhusu mfano wako wa Mongela najua vizuri sana kuliko hata wewe unavyofahamu...

Bibi Getruda Mongela ni feminist wa makaratasini tu lakini kwa aina ya malezi aliyopotia huko kwa Ukerewe kamwe hawezi kuwa na zile hardcore feministic elements kama walizonazo feminists wa kisasa. na pia tu nikujuze ufeminia wa miaka ya 1990s ni tofauti kabisa na ufeminia wa leo hii 2024, miaka hiyo ndio kulikuwa na ufeminia wa kweli ambao ulililenga kumuinua mwanamke kiuchumi,kielimu,kisiasa n.k na wanaume wengi sana walisapoti... Ni tofauti kabisa na leo hii ambapo ufeminia imekuwa ni mfumo wa kumdidimiza kabisa mwanaume na kufanya mwanamke awe juu ya mwanaume..

Wewe akili yako ndogo najua huwezi kuliona hili.
 
Umeropokwa mengi ongeza povu ongeza ongeza ...aisee familia yako inahasara kuishi na gubu kama hii inahtaj moyo pyeeee
Sa we mpuuzi huoni ulichoandika ndicho ulichorudia kuandika hapo au umebadili matumizi ya ubongo kufikiriki umekalia na mavi yamehamia kichwani
Nilichozungumzia ndo maazimio ya wafeminia ni yaleyale aliyohudhuria huyo mama na umeandika hapo..sibishani na nazi mbovu kumbaf
 
Hebu tupe hiyo tofauti kati ya "masuala yanayohusu jinsi na jinsia"?

Na pia kaa ukifahamu Kuna tofauti kubwa kati ya kuogopwa na kuepukwa, hao feminists huwa tunawaepuka na wala hatuwaogopi na tunawaepuka kwa sababu ni wanawake ambao hawana thamani, yes feminists hamna thamani kwa mwanaume anayehitaji ndoa yenye furaha na amani, nyie feminists hama haiba ya kike(feminity) mko too masculine, hamna utii kwa mwanaume utii kwenu mnaita ni utumwa, hamjui mipaka kati ya mume na mke humo ndani mnataka na nyie muwe na mamlaka sawa au zaidi ya mume... Sasa mwanamke kama wewe wa nini??? Obvious lazima ntakuepuka tu sababu you are valueless woman marriagewise.
ASANTE.
 
Katika maisha kosea vyote ila usikosee kuoa , ukikosea kidogo mtu sahihi wa kumuoa basi umejiangamiza wewe mwenyewe, uzao wako na mali zako.

Katika wanawake wanaopaswa kuepukwa kwa haraka sana basi ni mwanamke mwenye chembe chembe za u feminist , aisee mwanamke wa dizaini usijishauri mara mbili mbili chapa lapa fasta.

Ukishaoa mwanamke feminist kama madhara hayatokuwa kwako basi yataanza kuonekana kwa vizazi vyako.

Mtoto wa kike aliyelelewa na mama yake ambaye ni feminist , tegemea huyu mtoto kwanza kuja kuwavunjia heshima muda wowote saa yoyote kama mtaenda kinyume na matakwa yake .

Mtoto wa kike aliyelelewa na mwanamke feminist, tegemea ndoa yake kuwa na misukosuko isiyokwisha, tegemea huyu mtoto kuwa msagaji, tegemea huyu mtoto kutojua majukumu yake yeye kama mwanamke ikiwemo kupika ,heshima kwa mumewe na wakweze.

Tarajia huyu mtoto kuzalishwa hovyo tu bila kuolewa na yeyote.

Asilimia kubwa ya wanawake wanaoua wanaume wao ni wale mafenist au wamelelewa na mama ambaye ni Feminist.

Watoto wa kiume waliolelewa na mama ambaye ni feminist ,hawa hawaujui mfumo dume kabisa, tarajia huyu mtoto mbeleni kuwa shoga , laini laini, kutokuwa na misimamo ya kiume, kupelekeshwa na mke wake na yeye kuchukulia jambo la kawaida mpaka pale maji yatakapomfila shingoni, hatoweza kuwa baba bora, hatoweza kufanya majukumu yake kama baba, ndiye dizaini ya baba ambaye hajiwezi kwa kila kitu, hata kufunga kitanda mpaka amuite fundi.

Epukeni wanawake ma feminist mtaepuka mengi sana kwenye maisha yenu.
Chaiii
 
Back
Top Bottom