thetruthtobetold
JF-Expert Member
- Jan 17, 2018
- 509
- 560
Hahahah ni bora awe ni wa nyumbani, maana akiajiriwa ndo kabisaa! Wanakula mnoHaya ndo matatizo:
- Wanajijua ni wazuri, full kiburi.
- Wakiwa wa Mama wa Nyumbani ni wavivu ku keep up na urembo.
- Wakiwa wafanya kazi lazim wamegwe, hakuna namna.
- Ukiona kafanya kazi miaka 2 bila kunung'unika ujue bocy anammega, hawaze vumiliwa.
- Uzuri sio fahari yako, ni ya wote mpaka wapita njia.
Ndio ukweli
Ujumbe hautafika kwa sababu hawapo humu jamii forum, wa humu jamii forum hawapo romantic kabisa wakiongozwa na miss Chaga na kapeace
Haswaa [emoji13] [emoji12] !!!Yamekukuta
Mr Truth wanawake warembo tatizo si lao, bali wanaume wanawaperekea kuwa onja onja!! Wanaombwa sana kiasi wanashindwa kukwepa mitego inayowekwa na wanaume wenye uchu nao!! Ikiwemo hongo (rushwa) na misifa ambayo nyinyi sasa hamuwapi!!Haya ndo matatizo:
- Wanajijua ni wazuri, full kiburi.
- Wakiwa wa Mama wa Nyumbani ni wavivu ku keep up na urembo.
- Wakiwa wafanya kazi lazim wamegwe, hakuna namna.
- Ukiona kafanya kazi miaka 2 bila kunung'unika ujue bocy anammega, hawaze vumiliwa.
- Uzuri sio fahari yako, ni ya wote mpaka wapita njia.
Ndio ukweli
NYEE(in hehe voice)
Kwani uongo sweetie wangu? twende PM Basi bebi wangu? huyu mzuri washamla kama muwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hiyo negativity sio kwako wewe Mahoo.., hapa wanazungumziwa wanawake wazuri ..
Kwahiyo mi mbaya tehteh!!! [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] nimekusomaaa [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106][emoji23] [emoji23] [emoji23] hiyo negativity sio kwako wewe Mahoo.., hapa wanazungumziwa wanawake wazuri ..
[emoji124] [emoji124] [emoji124]