Hatari halafu Utasikia eti alidanganywa wao kila siku sababu ni hyo hiyo.
 
Tafiti nimefanya sana juu la hili haswa Kwa sample ya watu wa karibu...Nilichogundua wanawake wengi wanaenda na mfumo wa kuzalishwa then ndoa ,hapa kuna wahuni asilimia kubwa wanaingiza mitini hamna cha ndoa wala ukwaju..!

Ewe binti !! Katika maisha usijaribu kwenda kinyume na asili yetu lazima kuna matatizo yatatokea ,usijaribu kukubali kuzaa na msela tu kisa kakupeleka pale Serena au kitambaa cheupe inakuwa kama penzi la wezi bila kutambulishana Kwa wazazi..


Dunia ina matatizo mengi sana unaweza kumbana kama umri ushafika akaja kujitambulisha kwenu angalau...Kwa nn hata wanaume wengi wanajua demu anayetembea nae ni kicheche kama yeye kamvulia nguo bila hata ya ndoa basi kuna mwingine naye anapiga ndo maana suala la "kuoa" mtu anaona kuangushiwa jumba bovu.

Usiwe mbinafsi kuzaa mtoto halafu alelewe upande mmoja wakati huo wewe ulilelewa na wazazi wote unaona kawaida tu, jaribu kuwa mtulivu kipind hiki Cha majnga basi utapata wako na maisha yataendelea.

Kuna Ile πŸ‘‰Bora nizae tu! ila tambua ukishazaa kuna mabalaa mapya kama vile kupata kazi yaani hautopumzika na tambua hapo soko lishakutupa mkono mpaka mtoto akue sio Leo na bado utaingia gharama za malezi yaani ushabeba hatma ya kiumbe mwingine ( mtoto) kama uchumi mdogo itabidi ujinyime.
 
Kati ya hao wznawake 31 M wanawake halisi ni wangapi?
 
Hatari halafu Utasikia eti alidanganywa wao kila siku sababu ni hyo hiyo.
Ni wapumbavu sana wao wanadhani akipata mimba jamaa atafurahi na kumuoa haraka ila hajui kuwa wanaume pia walipitia wa kila aina ila anakubambikizia kesi

Hata kama mimba ni ya mtu lakini haikuwa makubaliano ya kupata watoto
Sijui huwa wanawaza nini
 
Vipi hukohuko uingereza?
 
Kusema siyo poa ndiyo kumaanisha nini?mbona mnaharibu sana kiswahili lakini!!!
 
Vipi hukohuko uingereza?
[emoji1] [emoji1787] huku wasichana wapo pia single mother ila baada ya kugombana na waume zao au washikaji wao walioishi pamoja
Ila sio wengi kihivyo maana wengi wao wanatumia fursa ya elimu zaidi na wanaona maisha kila mmoja atakula alichopanda hakuna kutegemeana hapa

Anafanya kazi na wewe unafanya kazi na yeye kupata mimba labda atake maana anajua akipata mimba mpaka kuzaa na kulea ni mtihani mwingine kama hana nyumba wala mshahara mkubwa

Huko ni Africa mkuu tofauti yetu hata kufikiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…