Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa

Unakuta hawa wanaotukana single mothers ni vichalii tu hohehahe wako kwa shemeji yao wanakula kwa shikamoo...halafu wamelelewa na mama mmoja...acheni umaku nyie machalii, mwanamke yeyote ili mradi ni mama ana mtoto aheshimiwe...kuwa single mothers sio kosa lake, kosa ni la mhuni huyo mwanaume mwenzetu alomzalisha nakumtelekeza...
 
Tulia na single mother wako hapo
 
Safi sana mkuu,kunywa Pepsi kwa mangi apo nakuja kulipa chap kwaa
 
Haha, single mother mwenye mawazo aje inbox nimfariji.
 
jifikirie tena. Mapenzi hayana logic.Mapenzi ni hisia ukileta logic kwenye mapenzi hakuna mwanamke utaoa. Alafu kuwa single mother sio kosa, what do you wanna say? kwamba ukioa mwanamke ukamfanyia ujinga, ukamuumiza , akakuacha she don't deserve another love? upuuzi
 
Umekuja kuleta taharuki
 
Back
Top Bottom