Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona alisema ni mwanamke mwenzenu au nilisoma vibaya (Macho ya kizee)?Aisee leo upo kama mwanaume unawashauri wanaume wenzio
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Peleka bangi huko, aliyekuambia anataka ndoa ni nani, tena utukome.
Sent using Jamii Forums mobile app
Liambiye hilo, angejuwa babu na baba zake wanatulilia angekaa kimya.Acha urongo.Nimedate single mums wawili.Ukweli ni kwamba wana upendo mnoo.
Hivi wewe umezaliwa au umejizaa?Unatoka nyumbani kwako unaenda dukani kwa Mangi unaachagua soda iliyofunguliwa na kunywewa kisha ikasazwa? Hivi huoni kinyaa? Soda zilizo na vizibo mbona zimejaa dukani kwa Mangi? Una tatizo gani hadi unaamua kula makombo?
Single mama hana moyo wa kupenda tena. Hapo amekufanya wewe mwanaume kuwa mti wa kivuli cha shida zake za hisia, kiuchumi, kijamii, n.k. Wahenga wanasema "moyo wa mapenzi ni kama glasi, ukipasuka ufa wake hauzibiki". Maana yake kupenda hakujirudii mara mbili, hasa hasa mwanamke akisha zalishwa...ni kana kwamba moyo wa kupenda unatoka pamoja na mtoto kule leba.
Wewe mwanaume uliyekamilika na unajiamini unaanzaje kumuoa single mama?? Ona kinyaa ndugu yangu. Single mama alishapenda tayari na ndiyo maana akaamua kumpa yule mzazi mwenzie mpk akapata ujauzito. Si ajabu alimkuta bikra jamaa akaitoa, kisha akarudia na kurudia na kaurudia hadi mimba. Leo wewe mkolomije unaenda kuoa. Acha uzembe kwenye mapenzi.
Tafiti zinaonyesha kwamba mwanaume wanao oa masingle mama-- wako katika mojawapo ya makundi yafuatayo;-
--hawajiamini
--wanafuata maslahi
--ni washamba washamba Fulani HV
--waliruka stage ktk makuzi yao
WITO; raha ya soda ukute haijaonjwa
Watoto waliozaliwa kutoka baba au mama tofauti wana ubora/ hali tofauti? Mpaka imetokea kuwa na mahusiano naye, ujue kuna hisia kati ya wahusika ambao hazikuwa na ubaguzi (prejudice) yoyote. Hiyo ya Kwamba kashazaa au la, ni mambo yanayokuja baadae, ila la kwanza ni hisia za kuvutia kati ya wahusika.Hivi uaanzaje kuvuna kwenye shamba lililokwisha vunwa na wanaume mwezio kama sio kwenda kuambulia mabua tu...
Sent using Jamii Forums mobile app
Na ndiyo ilivyo na ushahidi ni mtoto. Kusema kuwa mimba huingia mara moja ni njama za kujisafisha tuWatu wana fikra kwamba single mom ndio wanaongoza kutembea na wanaume wengi
Labda useme single mums ni wasanii wa mapenzi wanajua ku-pretend. Na yawezekana wanavumilia maana hawana option tena.Single mums ni waelewa na wanajua kuhandle,