- Thread starter
- #81
Eeh! Sawa unaliliwa na hao wahenga unaona sifa?Liambiye hilo, angejuwa babu na baba zake wanatulilia angekaa kimya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eeh! Sawa unaliliwa na hao wahenga unaona sifa?Liambiye hilo, angejuwa babu na baba zake wanatulilia angekaa kimya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa ni wachache mnooooo. Walio wengi walipenda na kutoa mgegedo kwa hao vidume wao kwa moyo wa upendo na mahaba yote.Je kama alibakwa na kuachiwa ujauzito kisha mbakaji akatokomea mazima
Wa awamu hii ya 5 wameambukizwa na yule tantariraHuenda hata mama yako alikuwa in single mother babaako angeona hivyo,hata Ww usingezaliwa ,lkn kwa mwanaume umejitahidi japo sijajua kazi yako ,mwanaume WA awamu yatano unapata wapi muda WA kutafiti mambo ya ajabu
Sent using Jamii Forums mobile app
Toka lini single mother akawa na upendo?Sio kosa mwanaume kuoa single mom....tatizo akili zenu zafikiria bikira tu....sifa kubwa za mwanamke ni kuwa na upendo wa dhati,mwenye tabia njema,mwenye huruma,mchamungu,mwenye busara...sasa kama mwanamke single mom anazo hizo kwanini nisimuoe? DONT JUDGE A BOOK BY ITS COVERS
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hizi ni za kweli kabisa
Utasanda na naniii??
am not singo mom...nko fresh sijawah shika mimbaWe single mothr?
rap beast
Vidole vyako vyote viko same size?...sikutamka kuwa ni wote ila nimempinga mtoa mada kwa kuwaponda single mamaz wote kwa ujumla.....hebu kuwa muelewa na utambue kuwa watu wote hawakupewa maumbile yanayofananaToka lini single mother akawa na upendo?
Huja muelewa mtoa mada na hapo wewe ndo uankua huja muelewa mtoa mada. Kama ungalisoma vizuri mtoa mada ameonyesha ni kwanini single mothers wengi nyoyo za upendo hazipo tena, na hii ni kutokana na ukweli ama waliwahi kupenda alafu Waka tendwa na kupata majeraha ya moyo ama walikuwa ni watu wa hovyo kwenye jamii yao (SCW) kitu ambacho huwafanya wasi wasipende tena.Vidole vyako vyote viko same size?...sikutamka kuwa ni wote ila nimempinga mtoa mada kwa kuwaponda single mamaz wote kwa ujumla.....hebu kuwa muelewa na utambue kuwa watu wote hawakupewa maumbile yanayofanana
Sent using Jamii Forums mobile app
Uelewa wako mdogo..mtoa mada alivyouliza hamuoni kinyaa?....alilenga kumuuliza nani kama sio wanaume?hebu kasome tenaHuja muelewa mtoa mada na hapo wewe ndo uankua huja muelewa mtoa mada. Kama ungalisoma vizuri mtoa mada ameonyesha ni kwanini single mothers wengi nyoyo za upendo hazipo tena, na hii ni kutokana na ukweli ama waliwahi kupenda alafu Waka tendwa na kupata majeraha ya moyo ama walikuwa ni watu wa hovyo kwenye jamii yao (SCW) kitu ambacho huwafanya wasi wasipende tena.
Endelea kujipa moyo..Watoto waliozaliwa kutoka baba au mama tofauti wana ubora/ hali tofauti? Mpaka imetokea kuwa na mahusiano naye, ujue kuna hisia kati ya wahusika ambao hazikuwa na ubaguzi (prejudice) yoyote. Hiyo ya Kwamba kashazaa au la, ni mambo yanayokuja baadae, ila la kwanza ni hisia za kuvutia kati ya wahusika.
Sent using Jamii Forums mobile app