Cendy
JF-Expert Member
- Mar 28, 2015
- 1,250
- 2,309
Wanahitaji faraja na sio ule moyo wa mapenzi na ndio maana amesema wapo ki socio economic status na kumaliza hisia zaoMfano wa Soda na Single mother wala haviendani na havina uhusiano wowote kwa kuwa soda ni kimiminika hakina hisia lakini huyo Single mother ni binadamu na ana hisia. NINGEKUWA MIMI NINGETENGUA KAULI NA KUOMBA RADHI.
Hujui amepitia wapi na mangapi huyo mama, wengine walitelekezwa, wengine wamefiwa na wapendwa wao ingawa kuna wengine walijitakia wenyewe n.k. Lakini hii haiondoi ukweli kuwa wanahitaji faraja na maisha lazima yaendelee mbele.
Wajibika Mama aishi.
the great