Spirit
JF-Expert Member
- Sep 19, 2013
- 457
- 380
Waliochoropoa mimba? Hawajavunwa?Hivi uaanzaje kuvuna kwenye shamba lililokwisha vunwa na wanaume mwezio kama sio kwenda kuambulia mabua tu...
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waliochoropoa mimba? Hawajavunwa?Hivi uaanzaje kuvuna kwenye shamba lililokwisha vunwa na wanaume mwezio kama sio kwenda kuambulia mabua tu...
Sent using Jamii Forums mobile app
Una uhakika gani huyo aliyezaa alishatoa mimba 10 ila hiyo ya 11 ndo akazaa kwa kupenda au kitopenda?Je ukioa mwanamke aliyetoa mimba 10 huyo si ni mama wa Marehemu kadhaa? Bora aliyezaa akajifunza kujikinga kuliko anayewaza ikiiingia tuu natoa saa zingine umeshatoka nao wengi tuu mama wa Marehemu hahahahahahaaaaa
Una uhakika gani huyo aliyezaa alishatoa mimba 10 ila hiyo ya 11 ndo akazaa kwa kupenda au kutopenda?Je ukioa mwanamke aliyetoa mimba 10 huyo si ni mama wa Marehemu kadhaa? Bora aliyezaa akajifunza kujikinga kuliko anayewaza ikiiingia tuu natoa saa zingine umeshatoka nao wengi tuu mama wa Marehemu hahahahahahaaaaa
Naongelea singo maza..hawo walio choropoa ni case nyingine..Waliochoropoa mimba? Hawajavunwa?
Yaliyotoa mimba hayajawahi kupumzisha vichunyeto siku zote wapo kazini wanaona wakizaa watakuta biashara imepunguaShida ni kwamba hao ambao wametoa mimba ni siri yao. Lkn single mama amejiwekea lebo kuwa nilimegwa....mara kadhaa mpk nikapata mototo.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Single mother naona leo wnapita kimyakimya hapa
Ndio maana nikasema asiyezaa aliyezaa wote sawa tuu achana na past ya mtu wewe angalia ulivyomkuta pambana na haliUna uhakika gani huyo aliyezaa alishatoa mimba 10 ila hiyo ya 11 ndo akazaa kwa kupenda au kitopenda?
Sent using Jamii Forums mobile app
Weka sura yake tujue kama ni kweliKesho mtaani kwetu kuna binti mkalii ni singo maza.anaolewa..mapilau mtaa mzima.
wiki ilopita kafanyiwa send off ya kukata shoka hotel ya nyota tano ..
karibuni sana..
unachokiona mzoga wenzio wanakiona lulu..laiti kama wanaume wote wangekua na akili za mtoa mada tusingeshuhudia hata mmoja akiolewa..but wanaolewaa na wanaume wenye mafanikio....
Past ya mtu haisaidii chochote ukisema ufatilie past za watu wako vizuri sidhani kama utaendelea nao heri hata mtoto anaonekana mengine hayasemeki hahahahahaha
Njoo inbobo plsnatafuta mpenzi...[emoji4]
Daaah Ahsante sana[emoji120]Habari mama! Ikiwa unahitaji mwenza kiukweli kutoka moyoni na unamuomba MUNGU haina haja ya kukata tamaa wala kujiukumu maana yaliyopita yamepita. Usibabaishwe wala kutishwa na kauli za walimwengu. Kumbuka kuwa ALIYEWAPA WAO NDIYE ALIYEKUNYIMA WEWE IPO SIKU ATAKUFIKIRIA.
Wajibika Mama Aishi.
Sawa..ila kwangu ni bora kuzaa na kule mtoto wangu..kuliko kua na singo mama..mana inahitaji uvumilivu wa punda..Past ya mtu haisaidii chochote ukisema ufatilie past za watu wako vizuri sidhani kama utaendelea nao heri hata mtoto anaonekana mengine hayasemeki hahahahahaha