asha watake radhi vidume vya haja
kuna wanaoondoka asbh saa kumi namoja wakidai wanawahi folen wanaenda kwa bi mdogo mpaka saa moja na nusu
wakifika lunch wanenda magomeni ile one hr waanrudi ofiisni wakimaliza kazi wanaaga 30 kabla wanaenda sinza kurekebisha wa tatu
kabla ya kurudi nyumban kuhitimisha wa nne..hapo mke wa nyumban ajui akiwekwa wazi si 4*2=8
Ipi bora? awe na wake wanne au awe na mke mmoja na wanawake wa nje zaidi ya mmoja?
So our holy book are not for now days?Tokana na jamii unayotoka... kama shujaa in the sense kua unalea wengi sawa...but sidhani kama wanaumw wa sasa wanaweza mziki wa kuwa na wake wanne.
Ilimchukua dk 25 kuelezea swala la ndoa za wake wa nne bw huyu mh kibonde kwenye kipindi cha jahazi hata hivyo
katika maneno yake yote nilitarajia atakuja na jibu kuoa wake wa nne ni nini??akaishia na kuanza kuelezea unajua
kuna wengine wakiwa na wake wengi wanaona ushujaa na wengine wanakuwa tu na tamaa ya kuongeza wake
wakati uwezo wa kuwatunza hawana ,,akasema hata kile kitabu chetu kinasema ni dhambi kubeba mzigo wakati huna
uwezo wa kuwahudumia wote na wanatakiwa wawe na furaha masaa yote asitokee mmoja kulalamika ama kwenye upande
wa mboga mchele ujapeeleka ama umemnyima TUNDA lake....akasema wengine wanaona wake zao wakiwa wanapigana ama
kutukanana wao wanafurahia sana hali hiyo so mwisho akasema anauliza
kuoa wake wanne ni mahaba tamaa ama ushujaa...ungekuwa msikilizaji ungejibu nini kusaidiawale wanaokimbilia kuongeza
list huku uwezo wao kwa siku kamoja mara mbili na huku viko vyumba vinne...tunaomba mawazo yako yazingatie kusaidia
kupunguza msongamano wa talaka zinazoendela kutolewa kila iitwapo leo na si hilo tu kupunguza idadi ya watoto wanaozaliwa
bila malezi ya baba zao mwisho wasiku kukumwagia maji machafu kama wale wa Ubungo maji traffick light..katika majibu yako
MASHARTI NA VIGEZO KUZINGATIWA
Hio round inaenda kila siku?? hio round anafika yeye tu au hata wahusika??
maana huwezi sema wewe wa haja una wake wanne alafu kila wakifika safari
wanajifikisha wenyewe baada ya wewe kuwaachia njian....
Ipi bora? awe na wake wanne au awe na mke mmoja na wanawake wa nje zaidi ya mmoja?
Hio round inaenda kila siku?? hio round anafika yeye tu au hata wahusika??
maana huwezi sema wewe wa haja una wake wanne alafu kila wakifika safari
wanajifikisha wenyewe baada ya wewe kuwaachia njian....
Mimi nna wawili na nnataka kuongeza wa tatu. Nilitangaza humu, kwa anae jiamini afate link: https://www.jamiiforums.com/love-connect/101070-natafuta-mke-wa-tatu-7.html#post2272676
akiwa na wa nne baada ya huyo mmoja wanaofwata si wanje ama sijaelewa maana ya nje bibe nisaidie tofauti yao inakuja huyu alie na wanne akashindwa kuwatunza anabeba dhambi mbili yaani amkiri kwa muumba atawatunza na kuwakabili wote katika giza la tanesco na mwanga wa milele ,alafu anakuwa ametoka nje maana ameshindwa kumhimili mmoja wa kwanza..ila huyu ambae ajaoa na yuko nje atakuwa ana dhambi ya kuzini moja pekee wakawati huyo wa juu amekiri na kumuomba kubeba mizigo yote minne kwa nguvu zake zote kwa shida na raha
Mimi nna wawili na nnataka kuongeza wa tatu. Nilitangaza humu, kwa anae jiamini afate link: https://www.jamiiforums.com/love-connect/101070-natafuta-mke-wa-tatu-7.html#post2272676
So our holy book are not for now days?
Hii ni tamaa tuu, vijitu vingine kumfikisha mwisho wa safari mke wake mmoja tu inashindikana sembuse wanne? ndiyo maana nyumba nyingi sasa hivi zinaweza kuwa-maintain ma-house boy kwasababu ya motisha iliyo jificha
yaaani umeniifurahisha mpka ikabidi nijifikishe mwenyewe Asha si mcehzo ni kweli wengi wanaishiaga njian
na kwa kukumegea siri kama ujaolewa wengi wanandoa zinakimbiwa sababu mmoja anatungulia kujifnya MICHAEL SCHUMEKER
wakati mwenizie anaitafuta chalinze hata ningekluwa mie..tatizo watu awasali kwenye kuomba wenza wao wanakumbana na 6 cylinder
wakati huo ushapewa kadi ya gari unafikira unafanyaje utaichoma moto amna jinsi inabidi tu uendelee kuweka alfu 25-30 alfu ilimzigo ufike salama
Ina maana chips mayai zimeharibu mambo siyo?Tokana na jamii unayotoka... kama shujaa in the sense kua unalea wengi sawa...
but sidhani kama wanaumw wa sasa wanaweza mziki wa kuwa na wake wanne.
Ina maana chips mayai zimeharibu mambo siyo?