Soloboy Member Joined May 14, 2011 Posts 26 Reaction score 5 Aug 1, 2011 #61 ni uzinzi tu,rizika na mmoja aliyekupa Mungu.!Wanne au mmoja na vimada njee wote wazinzi tu...
Gaga JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 4,558 Reaction score 1,970 Aug 1, 2011 #62 Ni tamaa tu,coz hata ukiwa na wanne utaendelea kutamani vya nje,coz ni hulka yako