nasri athumani
Member
- Jul 13, 2011
- 64
- 8
oya man iimada yako imekaa kidini zaid,tenakumba usiludie kuandika mada kiushabiki 2kianzakuchunguzana kwenye dini bila kua na takwim nzuli ya kitabu cha ile dini?nahisi apatatosha jf, ona! Waliojibu wamejibu kiushabiki na si vinginevyo kua makini nadini zawa2! Ebo!...f.....
Kwa ukiwa na wanne wa nje hawaruhusiwi?Ipi bora? awe na wake wanne au awe na mke mmoja na wanawake wa nje zaidi ya mmoja?
Ilimchukua dk 25 kuelezea swala la ndoa za wake wa nne bw huyu mh kibonde kwenye kipindi cha jahazi hata hivyo
katika maneno yake yote nilitarajia atakuja na jibu kuoa wake wa nne ni nini??akaishia na kuanza kuelezea unajua
kuna wengine wakiwa na wake wengi wanaona ushujaa na wengine wanakuwa tu na tamaa ya kuongeza wake
wakati uwezo wa kuwatunza hawana ,,akasema hata kile kitabu chetu kinasema ni dhambi kubeba mzigo wakati huna
uwezo wa kuwahudumia wote na wanatakiwa wawe na furaha masaa yote asitokee mmoja kulalamika ama kwenye upande
wa mboga mchele ujapeeleka ama umemnyima TUNDA lake....akasema wengine wanaona wake zao wakiwa wanapigana ama
kutukanana wao wanafurahia sana hali hiyo so mwisho akasema anauliza
kuoa wake wanne ni mahaba tamaa ama ushujaa...ungekuwa msikilizaji ungejibu nini kusaidiawale wanaokimbilia kuongeza
list huku uwezo wao kwa siku kamoja mara mbili na huku viko vyumba vinne...tunaomba mawazo yako yazingatie kusaidia
kupunguza msongamano wa talaka zinazoendela kutolewa kila iitwapo leo na si hilo tu kupunguza idadi ya watoto wanaozaliwa
bila malezi ya baba zao mwisho wasiku kukumwagia maji machafu kama wale wa Ubungo maji traffick light..katika majibu yako
MASHARTI NA VIGEZO KUZINGATIWA
wewe unahitaji kusaidiwa.... tena haraka iwezekanavyoTamaa tu mkuu,mmoja mwenyewe shughuli sembuse wanne.
Ukiwa na kipato ni ushujaa vile vile ufahari kwa wazee wetu wa zamani
Unakuwa na mnene, mrefu, mfupi, mweupe,
Ipi bora? awe na wake wanne au awe na mke mmoja na wanawake wa nje zaidi ya mmoja?
tamaa full stop.
wewe unahitaji kusaidiwa.... tena haraka iwezekanavyo

Watu wanaoa nyie mnakaa hapa oooh sijui tamaa sijui kitu gani. Of coz ni tamaa, kwani huyo mmoja uliyemuoa hukumtamani au ulimuoa ili muangaliane huko ndani??!!!!! Watu mnashangaza sana hivi mnadhani tamaa ni kitu kibaya????!!!!!! Kwa taarifa tu ni kuwa tamaa ni part and parcel of human life and the only thing that can make someone bad or good is how one responds to tamaa zake.

Ebanae all in all madume ya haja tuendelee kutamani na kuoa kama kawa.
ha ha ha haa, mkuu, sisi tupo kwaajili ya kuwasaidia hawa wachovu! tunapata "kazi" nyingi sana sababu ya ugoi goi wao.

Waelezee chips mayai hawa bao moja jitu lina hema kama nini, kama uwezo upo na kila kitu kinaruhusu wake wa nne mpango mzima, bora kuliko nyumba ndogo! BTW nina watatu, natafuta wa mwisho!

.............ndo uanaume kwa mwafrika,kama unae mmoja jiangalie mkuu.