Kuoa wake wanne ni ushujaa, tamaa ama mahaba? - Kibonde

ni uzinzi tu,rizika na mmoja aliyekupa Mungu.!Wanne au mmoja na vimada njee wote wazinzi tu...
 
Ni tamaa tu,coz hata ukiwa na wanne utaendelea kutamani vya nje,coz ni hulka yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…