Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 1,148
- 2,815
Umeanza vizuri ila umehitimisha vibaya, hivi sasa changamoto za ndoa ni nyingi suluhisho ni bandika banduaIla ushauri wangu kwa Dunia ya sasa yenye changamoto za kiuchumi na magonjwa mengi usioe wanawake wengi
Mbona mshangao
Mbona mshanga
We ni jinsia gani ?Umeanza vizuri ila umehitimisha vibaya, hivi sasa changamoto za ndoa ni nyingi suluhisho ni bandika bandua
Ukristo ulienezwa na wazungu.Kuoa wanawake wengi sio dhambi , dhambi inakuja pale mwanaume unaposhindwa kutimiza majukumu yako kwa kila mwanamke. Mifano ya watumishi wa Mungu kwenye biblia walioa wanawake wengi ipo mingi sana ila inashangaza kuona ukristo unapiga vita ndoa za wanawake wengi. Ila ushauri wangu kwa Dunia ya sasa yenye changamoto za kiuchumi na magonjwa mengi usioe wanawake wengi
Mmoja tu kuhudumia Mbinde ππ πKuoa wanawake wengi sio dhambi , dhambi inakuja pale mwanaume unaposhindwa kutimiza majukumu yako kwa kila mwanamke. Mifano ya watumishi wa Mungu kwenye biblia walioa wanawake wengi ipo mingi sana ila inashangaza kuona ukristo unapiga vita ndoa za wanawake wengi. Ila ushauri wangu kwa Dunia ya sasa yenye changamoto za kiuchumi na magonjwa mengi usioe wanawake wengi