Kuoana kwa kuoneana huruma is it right????

Huruma ya nini sasa ukateseke kuishi na mtu usiempenda, sio sahihi kabisa ni bora umwambie ukweli hapo ndio utakuwa umemuonea huruma ya ukweli sio hiyo ya kugushi.
 
Kwa bahati mbaya sana ndoa nyingi za kuanzia mwaka 2000 wameoana kwa "kuoneana huruma"... Na ndiyo maana "nyumba ndogo" zimeshamiri kuanzia kipindi hicho..
 
Huruma??? Ya nini kwamba mkiachana mmoja hataishi bila wewe? Au huruma gana unayozungumzia?? Mie simwonei huruma mtu aisee ndo nioane nae!!! Mie nataka malove kwishnei.
 
Any way mitizamo inapendeza, na pia inajenga lakini practice inabaki kuwa practice! Jaribu kurefer mahusiano yako au ya mtu wa karibu utautambua ukweli. Wengi tumekuwa na mahusiano na wengine tunaendelea nayo ebu pima kama sio yanaendelezwa kwa sababu yalianzishwa tu mpaka wengine wamefikia mahali wanasema ulipokuwa unaanza ulifikiri.......haachwi mtu hapa. Ukiacha ili ufanye unavyopendezwa unaonekana una tamaa sijui.... Lakini ndio vile...... tuendelee kudadavua.
 
baba huruma na mama huruma au hayo majina huwa ndio mahala pake ikitokea situation kama hiyo?
 
Sijawahi kuona wala kusikia mtu akioana na mwenzake kwa kuwa tu anamuonea huruma,hapa huruma inachukuliwa ni kama jambo lolote ambalo linampelekea mtu kuamua kitu bila kufuata hisia zake halisi bali hulazimishwa na jambo lile lililopo mbele yake.Jambo hili la huruma huangukia kwenye fadhila either ya mapenzi,pesa,kazi na n.k.
Tatizo kubwa huja wakati pale hiyo hali ya kujisikia unamhurumia mtu ikitoweka ndio huja matatizo na majuto.
 

kwa mawazo haya ndio maana ndoa hazina raha, maana unaoa au kuolewa kwa mtindo huu, hata upigwe uumizwe uchitiweeeee utang'ang'ania si umeamua kubeba mapungufu ya mwenzio?
 
Natumai mko alright,

Jamani hebu tujadiliane, mdada anakubali kuolewa na mkaka au mkaka anakubali kumuoa mdada shauri ya huruma. Hebu niambieni hatma ya maisha haya. Nisaidieni....


...this is hillarious, ha ha ha!
e bana wee, hata huruma (compassion) ina sababu zake.

Huruma ni ishara ya mapenzi.
Ndoa itadumu madhali kuna chembe ya huruma.
 

...katika vitu vinavyokosa definition sahihi hapa duniani ni
MAPENZI na HURUMA. Hakuna ukamilifu wa ndoa bila kimojawapo.

Bila mapenzi hakuna huruma, na bila huruma hakuna mapenzi.
Atayebisha na alete sababu zake, LOL!
 
Natumai mko alright,

Jamani hebu tujadiliane, mdada anakubali kuolewa na mkaka au mkaka anakubali kumuoa mdada shauri ya huruma. Hebu niambieni hatma ya maisha haya. Nisaidieni....

ananipenda sana, halafu sitaki kumuumiza moyo wake nifanyaje?
Nimuonee huruma nimuoe tu au nichape lapa. Huko ninapoenda nitapendwa kama ninavyopendwa? Mimi nampenda kiasi tu.
Nafikiri huruma inahitajika. Lol!
 
ananipenda sana, halafu sitaki kumuumiza moyo wake nifanyaje?
Nimuonee huruma nimuoe tu au nichape lapa. Huko ninapoenda nitapendwa kama ninavyopendwa? Mimi nampenda kiasi tu.
Nafikiri huruma inahitajika. Lol!

Hapana Husninyo ni muda tu haujafika, mungu wetu ni mwema sana kila mtu kamwekea mtu wake ukiona hujakutana nae wa kukudundisha mapigo ya moyo ujue wakati haujafika. na ukifika huo wakati hauta regret hata akikufanyia nini hapo utakuwa radhi kuvumilia. imagine huyo uliyemuonea huruma ukaoana nae akikuudhi maudhi yale makubwa, hautajiuliza mara mbili kuachana nae cause humfeel kumoyo
 

da! Maneno yako yananiingia sana.
Sasa, hakuna kuonea mutoto ya mutu huruma eeeh?
 
da! Maneno yako yananiingia sana.
Sasa, hakuna kuonea mutoto ya mutu huruma eeeh?

Hakuna cha huruma humfeel muache mtoto wa watu maana ukimuoa kwa kumuonea huruma sijui kama hata akilia utambembeleza
 
Ni bora kumuumiza mapema before hamjaingia nadani ya ndoa.
Ndoa ni kitu kingine, kwann uteseke ndani ya ndoa? I hp usipomwonea huruma atakukumbuka kwa hilo roho mbaya lako later.
aise hapo umenena sana sijui nikupm
 
kwa mawazo haya ndio maana ndoa hazina raha, maana unaoa au kuolewa kwa mtindo huu, hata upigwe uumizwe uchitiweeeee utang'ang'ania si umeamua kubeba mapungufu ya mwenzio?
ferds upo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…