Usafi kwenye sex ni kitu muhimu sana, ni vizuri kuoga kila wakati mmeisha fanya sex.
mi sijui kwa nini maswali yanakuwa mengi sana kuliko vitendo.....
Si ndo ajabu, afu mtu anaogopa kuyafata maji eti yako mbali :cool2:mi sijui kwa nini maswali yanakuwa mengi sana kuliko vitendo.....
Kumbe huwa unawatoa watu majasho, we kweli machachari uwanjani :cool2:Usafi ni lazima..hebu imagine umetoka majasho then unaendelea bila kujimwagia maji huoni kama ni karaha??
Usafi kwenye sex ni kitu muhimu sana, ni vizuri kuoga kila wakati mmeisha fanya sex.
Ni kamchezo kakitoto flani kati ya mwanaume na mwanamke, kila mmoja kati yenu anajitahidi kumvuta mwenzake na mwingine kumsukuma :cool2:Kufanya sex ndo nini mkuu? funguka kwa lugha sawia na uliseme lilivyo.
ni kamchezo kakitoto flani kati ya mwanaume na mwanamke, kila mmoja kati yenu anajitahidi kumvuta mwenzake na mwingine kumsukuma :cool2:
Sa mbona umekasirka, kamchezo ka kikubwa basi :cool2:kamchezo kakitoto?ya kweli hayo?
Wapi muliza swali kasema kila siku...kasema kama mtafanya mara 3, 4 au tano hakusema kila siku.Unafanya mapenzi na mwenza wako zaidi ya mara nne hadi tano ili iweje?
Hivi kuna walio katika ndoa wanaofanya mapenzi zaidi ya mara nne kwa usiku?