nyie peaneni mapointi lakini ndo nimesema.....siogi....
hivi mnajua baridi iliyopo Yaeda sasa hivi nyie.....?
Hiyo Kali, Mbavu sina
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nyie peaneni mapointi lakini ndo nimesema.....siogi....
hivi mnajua baridi iliyopo Yaeda sasa hivi nyie.....?
Hold on! Kuna tofauti kati ya kuoga mwili mzima na maji yanayotirika mwilini na kusafisha nyeti kwa Mwanamake aka douching. Hii ni lazima kabla na baada ya ngono kwa Mwanaume na Mwanamke. Halafu kuna kunawa au kutumia kitambaa au taulo na maji vuguvugu kuondoa jasho na uchafu mwili mzima kama upo sehemu ya baridi. Sasa wewe hata kusafisha nyeti baada ya ngono hutaki sababu ya baridi?nyie peaneni mapointi lakini ndo nimesema.....siogi....
hivi mnajua baridi iliyopo Yaeda sasa hivi nyie.....?