Kuoga baada ya mapenzi ama kabla ya mapenzi lipi bora??

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Haya wapenzi wa shangilia ushinde
nimerudi tena leo hii wacha tujiweke sawa na mambo yetu..wapo wengi wanapenda kuoga baada ya kufanya mapenzi lakini kuna mada moja imeongelewa sana tangu asbh ikanifanya niingie vitabuni nkakutana na wapenzi wanaosema ni vizuri kuoga kabla ya mapenzi wakimaanisha

1)UNAWEZA KUTA MTU AMETOKA KUFANYA MAPENZI AKAJA KWAKO
2)AMETOKA KUTEMBEA UMBALI MREFU UKAKTANA NA MAJASHO NA UVUNDO FULANA HI NI KWAWALE WAPENZO WA CHUMVINI
3)INASAIDIA HATA MWANAMKE MKIOGA KUANGALIA JE HII NTAWEZA KUHIIMILI AMA LAH NA HIVYO KUMRAHISISHIA KUGAIRI AKIWA BAFUNI KAMA AJAWA WA KWANZA KUTOKA NA NYINGINE NYINGI

HAYA NDUGU ZANGUNI WENGINE WANASEMA VYEMA TUKAOGA BAADA YA GAME NA MKIWA JAMVINI NUWA AMA DAWASCO WAKAKATA UTAENDA KUTAFUTA UHAI???

NIWARUDISHENI KWENU STUDION
 
Ni vizuri kuoga kabla ya tendo ila baada ya tendo ni vizuri mkatawaza. huwezi lala kwa furaha kama bado unanukia kile kiharufu kile.
Usafi muhimu sana kwenye hili swala bwana, usafi unaongeza hamasa.
Mwanamke anatakiwa awe msafi na mrembo kumvutia mwenzi wake ukizingatia wanaumme wanachanganyikiwa zaidi kwa kuona.
 
Njomba,ile fleva baada ya gwaride ni mchanganyiko wa harufu ya kitumbua.. harufu asilia ya miili yenu..jasho.. parfyum na vitu vingine kibao.... inategemea pua na akili yako inapokeaje... wenginee kwao inawapa Mzux.. wengine inawawahisha washroom!!!:A S 2152:
 
Mimi hali zote pouwa zile harufu za mahaba mie kwangu hupenda kuazikilizia thena naenda kuoga baada ya muda kupita ila kabla ya game nahakikisha nimeoga ili nisimkwaze mama jr
 
Ha ha haaaa... Jeiefu Bwana...

Wataalamu... Teamo, Asprin, Roya Roy, Acid, na wengineo.... tupatieni uzoefu wenu.... (kisha mje kutubu)...:mmph::angry:
 
niliwahi kusikia zamani kuwa kama mwanaume ukitoka ku-do bila kuoga halafu ukakutana na mdada njiani ukimtongoza anaweza kukubali hapo hapo na ku-do nae siku ile ile nasikia ile harufu ni kama ina baraka fulani hivi, mie ile harufu uwa naipenda sana kuisikia maana ni mseto wa vitu vingi sana na nasikia mtu ukiwa unapenda sana ku-do unakuwa una ile harufu muda wote na nchi za mbele wametengenezea mpaka parfume ya ile harufu
 
Ha ha haaaa... Jeiefu Bwana...

Wataalamu... Teamo, Asprin, Roya Roy, Acid, na wengineo.... tupatieni uzoefu wenu.... (kisha mje kutubu)...:mmph::angry:

Uzoefu upi zaidi ya ule niliokuambia wakati natubu?:help:
 

mweh! mweh! mweeeh....!!!! hii nayo kali :A S embarassed:
 
Haya mambo fomula ngumu maana kuna kuoga kwingine bora kutokuoga na kinyume chake. Ila uchafu unakata stimu
 

ndio maana napenda nikitoka nje nikiwa na mafua hata baada ya kumaliza shuguli sisikii harufu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…