Kuoga jamani

Kuoga jamani

Sio wote,nyie kama mnawakuta watu wenu wako hvyo basi jueni kuwa kuna wengne wako fresh kwa usafi hata kuwazd nyie.
Ukipost kitu humu lazima kiwe kimekutokea?
 
Badala ya kuwananga we anza kwa kumuogesha wako kama nae ndo wale wale...akishazoea kusafishwa akasafika utaona nae anaanza kujisafisha mwenyewe kisawasawa .
Cjaona kama kuna mtu ananangwa au imemtokea mtu ni kuelimishana tu
 
Kama umeiona ya bwanako sio wote tupo hivyo.
Bado kama mpenzi wako ulikuwa na nafasi ya kumuogesha.
ulikuwa unatafuta nini huko chini ya uvungu? au ulikuwa unanyonya tigo ya mshikaji
Don't take it personal hapa ni JF NADHANI UNAJUA NINI KINARUHUSIWA KUBEDISCUSSED.kama wewe ni machaf fanya kama thread isemavyo
 
Jamani eee tumewaelewa,kumbe mme advance mpaka huko mnafika siku hizi?
 
Mkuu
Mi nashangaa sana hizi topic za kuongelea nyeti za wanaume.
Mtu kaiona ya mpenzi wake chafu, haisafishi basi anaigeuza thread JF.
Mara ya 4 naona hapa.
kwani ngapi

Mangapi ya kwetu mnayasema ?? za kwetu ngapi za wekwa wazi ?? tena kwenye swala la jasho mtu sijui anaogaje
chupuchupu au na soap au sielewi jamani no cha deodorant wala majani ya papai mmmh
akija sasa utadhani nini sijjui puuwiiiii
 
Mbona magagulo yenu hamsemi?
Vipi mbona unataka kubadili maada? Yaani mwaona rahaaa kusema ya wanawake tu ya kwenu wala hamtaki hata kuyasikia. Sasa leo zamu yenu.....yessssss muoge, msafishe nanii zenu na mfue hizo boxer zenuuuuu......!!!
 
Inawezekana kuna wengine wana hobby ya kuchezea p....u! si masihara!
 
yaani mnaenda kudate wauza samaki halaf mnategemea wanuke pafyum? hehehehe
wa uswahilini utawajua tu.
 
chezean wa uswahilini wewe....twanuka twanukia sie!
hehehehe ukitaka kwenda chumvini na wa uswahilini hakikisha haujakula chakula cha maana. hakyababu uvundo wa zile sehem unaweza ukatapika pilau lako la gharama kabisa.
 
hehehehe ukitaka kwenda chumvini na wa uswahilini hakikisha haujakula chakula cha maana. hakyababu uvundo wa zile sehem unaweza ukatapika pilau lako la gharama kabisa.
ningesema neno hapa ila naogopa mnaita nini sijui....nimekuweka kapuni
 
yaani mnaenda kudate wauza samaki halaf mnategemea wanuke pafyum? hehehehe
wa uswahilini utawajua tu.

lol,...kiongozi, hata jamaa wa maghorofani nao ni noma bana. Kwakuwa wana magari na maofisi yenye kiyoyozi, na
nyumbani ni full 'kipupwe' hata kukoga anaona luxury tu...mtu mzima anajifuta na body wipes utasema yupo kwenye ndege! Perfume na Body sprays kwa wingi kumbe ana 'mask' uchafu na uvundo!...

Uchafu ni hulka ya mtu,...kwa haraka gani mpaka mtu ashindwe jisugua 'kona' za mwilini mwake?
hata mswaki anakumbuka huyo, au anasukutua colgate tu? Haipendezi hata kidogo.
 
Back
Top Bottom