Kuoga jamani

ishi tatzo c kuosha chin ya nanii tatzo ni kuoga mara 3 kwa week,bahat yenu mnalamba uko pekee,sasa lamben maskion au kwapani kwa matoz muone balaa lake,kama unamimba inatoka...!
 
hehehe Kamanda hapa nabeep wa uswahilini tu nijue tuko wangapi. Mie mwenyewe wa mbagala, nikipita karibu yako kama haujaenda chafya basi ujue una chronic sinus, kaonane na daktari.
 
Reactions: Mbu
Haya nendeni wote mkaoge sio mnaongelea tu bila kufanyia kazi!!
 
yaani mnaenda kudate wauza samaki halaf mnategemea wanuke pafyum? hehehehe wa uswahilini utawajua tu.
Haijalishi we ni nani, unatoka wapi au unafanya nini, cheo chako ama hadhi yako. Uwe unaishi uzunguni ama uswahilini, usafi ndo mpango mzima!!
 
ishi tatzo c kuosha chin ya nanii tatzo ni kuoga mara 3 kwa week,bahat yenu mnalamba uko pekee,sasa lamben maskion au kwapani kwa matoz muone balaa lake,kama unamimba inatoka...!

hivi kuoga ndo usafi?.... mbona taulo linachafuka yle linatumika mara tu baada ya kuoga?
halafu kulamba kwapani kwani wewe ni ndama? sasa hapo nadhani mi cpo current,
unalamba kwapa? bado kidogo mtalamba mk.u.nd . u, then mtaanza kula mavi, mwemwemweeee
haya mapenzi haya?
 
Pole sana mwana JF mwenzetu, kwani inavyoonekana una mkosi wa kukutana na wanaume wachafu. Hata hivyo wahenga walisema ndege wanaofanana huruka pamoja. Angalizo: wewe ukoje? Sorry... Ahahahahahahahahaaa......
 
Mh! wanaume wana harufu kuliko wanawake kama hawafanyi usafi. Na aliyeleta hii kiitu inaitwa boxer alichemsha. Wanaume osheni chini ya nyanya zenu jamani kuna uvundo wa ajabu na hiyo fimbo ya babu ina uoshaji wake dooooo! tutaleta kitchen party hapa ni hatari.
 
Pole sana mwana JF mwenzetu, kwani inavyoonekana una mkosi wa kukutana na wanaume wachafu. Hata hivyo wahenga walisema ndege wanaofanana huruka pamoja. Angalizo: wewe ukoje? Sorry... Ahahahahahahahahaaa......
Mwenye macho haambiwi tazama na chizi c lazma avue nguo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…