Kuoga kila siku kiafya ni sawa?

Mtu usipooga ni vema kujipulizia body spray usinuke jasho.
 
Kwa kweli hii mada imenipa kitu cha kufatilia npoa chuo kimoja huku na jamaa wa nchi mbalimbali hasa wazungu,wachina,korea n.k,hili suala kwa kweli limetusumbua sn na jamaa yangu niliye naye huku sababu tunatumia toilete moja kubwa nzuri ya kisasa maji unachagua unayotaka moto/baridi unayotaka,ila tunashangazwa nao au nao nadhani wanatushangaa sisi tukiamka asubuhi tunafanya shughuli zote nao yaani gym n.k kazi tunapoingia washroom siye lazima tuoge na usafi mwingine hawa jamaa 80% hawaogi,na cha kushangaza unakuta kashabadili nguo za michezo yupo tayari kwa class anaswaki basi,yaani kuoga ni nadra sn
 
Lakini haya maswali ulipaswa umuulize huyo mkorea kwanini anasema hivyo?
 
Ofcourse hata Ukiangalia Filamu zao .... But did u ask them why??
 
Waulizie bana inawezekana kuna faida zake,ila kwa hapa Dar sijui itakuwaje na hili joto la sasa hivi mbona tutavunda.
 
wewe dada acha ubishi uke hautakiwi kuoshwa sana
wewe miss natafuta na unaye bishana naye kuusu kuosha uke sana au si sana ilibidi kwanza mjuzane kuosha sana ni Mara ngapi na kuto kuosha sana ni Mara ngapi kwa siku au mwezi msije mkajikuta wote mpo sahii
 
wakorea asili yao wachafu coz hata ukianglia movie zao wananawa uso na msuki tu
 
Nilipo kuwa mkoa wangu ule wenye baridi nilikuwa naoga siku ya Jumapili tu ya kila wiki.Yaani ukiwa mwanahesabu vizuri nilikuwa naoga mara 4 tu kwa mwezi.
nimekumbuka at time when i was in arusha u did as i did
 
Reactions: 7ve
Huyo mkorea alipokwambia "Sio vizuri kiafya kuoga mara kwa mara" Je ulimuuliza tafsiri yake kua sio vizuri kuoga mara kwa mara kivipi? Kwanini usingemuuliza huyo huyo mkorea kua "nini madhara ya kuoga mara kwa mara?" Nadhani yeye angekua na jibu zuri zaidi coz ndio anafuata imani hiyo.
 
mmh utanuka kibeberu ohoooo
mbona mkorea hanuki
alikuwa na haraka mkuu akirudi nitamuuliza
 
uliza mkuu kuna itu mtu mweupe hadanganyi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…