Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
- Thread starter
- #21
ngoja niaze kuskip showeryawezekana sababu wachina hawaogi mara kwa mara wanaosha nywele tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ngoja niaze kuskip showeryawezekana sababu wachina hawaogi mara kwa mara wanaosha nywele tu
mmh utanuka kibeberu ohoooongoja niaze kuskip shower
usiku kwa vile nalala mwenyewemmh utanuka kibeberu ohoooo
hayausiku kwa vile nalala mwenyewe
sio dada, sema bibiwewe dada acha ubishi uke hautakiwi kuoshwa sana
Ofcourse hata Ukiangalia Filamu zao .... But did u ask them why??Kwa kweli hii mada imenipa kitu cha kufatilia npoa chuo kimoja huku na jamaa wa nchi mbalimbali hasa wazungu,wachina,korea n.k,hili suala kwa kweli limetusumbua sn na jamaa yangu niliye naye huku sababu tunatumia toilete moja kubwa nzuri ya kisasa maji unachagua unayotaka moto/baridi unayotaka,ila tunashangazwa nao au nao nadhani wanatushangaa sisi tukiamka asubuhi tunafanya shughuli zote nao yaani gym n.k kazi tunapoingia washroom siye lazima tuoge na usafi mwingine hawa jamaa 80% hawaogi,na cha kushangaza unakuta kashabadili nguo za michezo yupo tayari kwa class anaswaki basi,yaani kuoga ni nadra sn
Waulizie bana inawezekana kuna faida zake,ila kwa hapa Dar sijui itakuwaje na hili joto la sasa hivi mbona tutavunda.Kwa kweli hii mada imenipa kitu cha kufatilia npoa chuo kimoja huku na jamaa wa nchi mbalimbali hasa wazungu,wachina,korea n.k,hili suala kwa kweli limetusumbua sn na jamaa yangu niliye naye huku sababu tunatumia toilete moja kubwa nzuri ya kisasa maji unachagua unayotaka moto/baridi unayotaka,ila tunashangazwa nao au nao nadhani wanatushangaa sisi tukiamka asubuhi tunafanya shughuli zote nao yaani gym n.k kazi tunapoingia washroom siye lazima tuoge na usafi mwingine hawa jamaa 80% hawaogi,na cha kushangaza unakuta kashabadili nguo za michezo yupo tayari kwa class anaswaki basi,yaani kuoga ni nadra sn
wewe miss natafuta na unaye bishana naye kuusu kuosha uke sana au si sana ilibidi kwanza mjuzane kuosha sana ni Mara ngapi na kuto kuosha sana ni Mara ngapi kwa siku au mwezi msije mkajikuta wote mpo sahiiwewe dada acha ubishi uke hautakiwi kuoshwa sana
nimekumbuka at time when i was in arusha u did as i didNilipo kuwa mkoa wangu ule wenye baridi nilikuwa naoga siku ya Jumapili tu ya kila wiki.Yaani ukiwa mwanahesabu vizuri nilikuwa naoga mara 4 tu kwa mwezi.
Huyo mkorea alipokwambia "Sio vizuri kiafya kuoga mara kwa mara" Je ulimuuliza tafsiri yake kua sio vizuri kuoga mara kwa mara kivipi? Kwanini usingemuuliza huyo huyo mkorea kua "nini madhara ya kuoga mara kwa mara?" Nadhani yeye angekua na jibu zuri zaidi coz ndio anafuata imani hiyo.Watu wengi tunaishi tu kwa mazoea nadhani,
Jana kuna jirani yangu ni mkorea alikuwa anasafiri leo asubuhi usiku alikuja kuniomba msaada flani akanikuta naoga ilikuwa saa tano usiku hivi. Leo asubuhi akaja kuniaga tena aniachie maua yake niyanyeshee akanikuta naoga akashangaa akaniuliza mbona naoga oga sana nikamuambia mbona kawaida tu akasema sio vizuri kiafya kuoga mara kwa mara yeye akasema anaoga mara mbili au tatu kwa week.
Kidogo nizimie ila ukimuangalia yupo tu vizuri. Najua watoto wadogo ndo hawaogeshwi mara kwa mara japo kibongobongo watoto wetu wachanga wanaogeshwa sana tu asubuhi na mapema kanapigwa maji mchana, jioni muda wa kulala katoto kanapigwa maji kama amphibia vile chura sio samaki.
Ila watu wazima tunaoga kila siku hadi mara tatu naomba tujadili kiutu uzima kuna haja ya kuoga kila siku? Faida zake na hasara zake.
Asanteni.
Sio sawa. Unapaswa atleast mara 4 kwa wiki
mbona mkorea hanukimmh utanuka kibeberu ohoooo
alikuwa na haraka mkuu akirudi nitamuulizaHuyo mkorea alipokwambia "Sio vizuri kiafya kuoga mara kwa mara" Je ulimuuliza tafsiri yake kua sio vizuri kuoga mara kwa mara kivipi? Kwanini usingemuuliza huyo huyo mkorea kua "nini madhara ya kuoga mara kwa mara?" Nadhani yeye angekua na jibu zuri zaidi coz ndio anafuata imani hiyo.
uliza mkuu kuna itu mtu mweupe hadanganyiKwa kweli hii mada imenipa kitu cha kufatilia npoa chuo kimoja huku na jamaa wa nchi mbalimbali hasa wazungu,wachina,korea n.k,hili suala kwa kweli limetusumbua sn na jamaa yangu niliye naye huku sababu tunatumia toilete moja kubwa nzuri ya kisasa maji unachagua unayotaka moto/baridi unayotaka,ila tunashangazwa nao au nao nadhani wanatushangaa sisi tukiamka asubuhi tunafanya shughuli zote nao yaani gym n.k kazi tunapoingia washroom siye lazima tuoge na usafi mwingine hawa jamaa 80% hawaogi,na cha kushangaza unakuta kashabadili nguo za michezo yupo tayari kwa class anaswaki basi,yaani kuoga ni nadra sn
mkuunimekumbuka at time when i was in arusha u did as i did
Wanajifuta Futambona mkorea hanuki
alikuwa na haraka mkuu akirudi nitamuuliza