Chupayamaji
JF-Expert Member
- Sep 19, 2017
- 5,784
- 13,642
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda wewe ndio usiku huna unachofanya.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 721574
Haha..anataka kuhalalisha uchafu tu.Vipi kama niliota niko Gym nafanya mazoezi?
Halafu wewe, toka utoto wako hadi leo lazima ulazimishwe kuoga asubuhi? Hebu oga uko acha kutuletea mwili una harufu ya uvondo maofisini. Nani amekuambia Tanzania tuna shida ya maji ya kuoga?
Labda wewe ndio usiku huna unachofanya.
Kazi.Wewe unafanyaga nini usiku?
Mmmh.Kazi.
Hahahaaa umeniwahiLabda wewe ndio usiku huna unachofanya.
Hajui kuwa unafanyaga mambo mengi sana usiku....Hahahaaa umeniwahi
Hiyo namba 5 itahamasisha wasiooga asubuhi kuoga. Mtu anaanzaje siku na majasho ya usiku kucha?hahahaa
Faida za kuoga asubuhi...
1:huboresha mzunguko wa damu.
2:Hupunguza stress
3:Huongeza kinga (inastimulate white blood cells kuzaloshwa)
4:husaidia kunawirisha ngozi.
5:inaongeza nguvu za kiume.
mkuu oga bhana...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 721574
kama akioga maji ya baridi kwa wiki moja tu mfululizo kila siku asubuhi, sperm count itaongezeka. utafiti afanye mwenyeweHiyo namba 5 itahamasisha wasiooga asubuhi kuoga. Mtu anaanzaje siku na majasho ya usiku kucha?
Mmmh! Hii ya kweli au unahamasisha tu wanaume kuoga?kama akioga maji ya baridi kwa wiki moja tu mfululizo kila siku asubuhi, sperm count itaongezeka. utafiti afanye mwenyewe
Hawa ndio wanaonunua mataulo meusi halafu hawayafui wakidai hayachafuki kwa kuwa wanayatumia wakiwa wasafi wameoga!Haha..anataka kuhalalisha uchafu tu.
The Importance of Morning Showers – 10 Health Benefits of Showering in the MorningMmmh! Hii ya kweli au unahamasisha tu wanaume kuoga?