KUOGA MAJI MENGI

KUOGA MAJI MENGI

Chupayamaji

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2017
Posts
5,784
Reaction score
13,642
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
IMG_20180321_210701_108.jpg
 
Vipi kama niliota niko Gym nafanya mazoezi?

Halafu wewe, toka utoto wako hadi leo lazima ulazimishwe kuoga asubuhi? Hebu oga uko acha kutuletea mwili una harufu ya uvondo maofisini. Nani amekuambia Tanzania tuna shida ya maji ya kuoga?
 
Haha..anataka kuhalalisha uchafu tu.
 
hahahaa
Faida za kuoga asubuhi...
1:huboresha mzunguko wa damu.
2:Hupunguza stress
3:Huongeza kinga (inastimulate white blood cells kuzaloshwa)
4:husaidia kunawirisha ngozi.
5:inaongeza nguvu za kiume(kuoga maji ya baridi asubuhi huongeza sperm count)

mkuu oga bhana...
 
hahahaa
Faida za kuoga asubuhi...
1:huboresha mzunguko wa damu.
2:Hupunguza stress
3:Huongeza kinga (inastimulate white blood cells kuzaloshwa)
4:husaidia kunawirisha ngozi.
5:inaongeza nguvu za kiume.

mkuu oga bhana...
Hiyo namba 5 itahamasisha wasiooga asubuhi kuoga. Mtu anaanzaje siku na majasho ya usiku kucha?
 
Hiyo namba 5 itahamasisha wasiooga asubuhi kuoga. Mtu anaanzaje siku na majasho ya usiku kucha?
kama akioga maji ya baridi kwa wiki moja tu mfululizo kila siku asubuhi, sperm count itaongezeka. utafiti afanye mwenyewe
 
Back
Top Bottom