BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,474
- 4,039
Yeah lakini wengi wao hawana uwezo wa kusafisha kila siku mkuu lazima ukubali. Kipato mkuu Rasta hizo mtu akisuka anakaa nazo mwezi yote hii kwa ajili kipato.
Shida kubwa ya kuoga na Mwanamke iko kwenye mambo ya nywele! Inataka moyo sana kuoga na watu hawa, maana mara utasikia...ooooh unalowesha nywele zangu!!!......uuuuhhh!!! unaniloweshea rasta zangu..!!
Baadhi ya wanawake ni wachafu sana, maana atakaa na zile nywele kwa wiki hadi 5 hazijagusa maji, japo wanajidai kupaka sijui ma nini.. sijui makemiko gani.....sijui ndo wanaita ma`enjoface, ..malipstick..mi siyajui!
Shiiit... tokea siku hiyo mimi sitaki lawama za kishenzi.
Hakuna sababu yoyote ya kuoga nao, mwache atangulie yeye kisha utafuatia wewe kwa raha zako..
wabeijing wamecharuka, mkuu watake radhi bana ili hali ya hewa iwe nzuri mahali hapa.
Fidel
ndo hivyo sasa,muwasaidie wandani wenu kununua vitu kadhaa kama
-Drier za mkono
-shampoo
-conditional
-mafuta ya kupaka
Ili aoshe muda wowote mtakao na muwaone wasafi zaidi.
Basi wana`Beijing, nawataka Radhi, maana nimeweka hadharani `bila chenga` mambo zenu...
Ulimi hauna Mfuko!
mKE WANGU NI NADHWIFU sana na anajipenda.
Lakini niwe mkweli, kuoga pamoja inakuwaga shida kidogo kwa maelezo yangu ya awali.
Basi wana`Beijing, nawataka Radhi, maana nimeweka hadharani `bila chenga` mambo zenu...
Ulimi hauna Mfuko!
mKE WANGU NI NADHWIFU sana na anajipenda.
Lakini niwe mkweli, kuoga pamoja inakuwaga shida kidogo kwa maelezo yangu ya awali.
Ok.......... sasa ile xpeliensi ya rasta zilizokaa wiki 5/6 umeipata wapi?..... nyumba ndogo?[/QUOTE]
Mwanajamii One
Niliiona kwa nyumba ndogo mahali, toka wakati huo nilimbadilisha na mwingine...!
Lakini wengine ni wafanyakazi wa maofisini humu, unakuta wana ma`smell ya ajabuajabu..... sijui ndo mamimi!!
hamna kitu kitamu kama kuoga pamoja, kusuguana migongo.....kupeana massage, manicure, pedicure humo humo bafuni huku mki nanannnanananaaaaa. its fore play jamani...i read this in a book dont quote me!!!!
Massaging is a proffession for your info!
Wanawake wengi hawajui hata inaanzia vipivipi...!
Msiseme tena nawajia juu, hasa akina Wos na M`Jamii1, huo ndo ukweli bana!
Umesahau WAMA ya Festi Ledi wa Muungwana, aagh, sory sio wa Muungwana tu, I mean wa Tanzania !!He! he! he! te! te! te!, jamani wanawake mkiguswaaa, nafurahia sana mnavyo mkomalia huyu jamaa. Bado TAMWA, TAWLA, UWT,MEWATA,WAWATA... hawajatoa tamko,jamaa hatarudi tena!( jokes)
Wakuu nisaidie hivi kuna umuhimu wowote wa kuoga na mke wako?au ni fasheni tu!!!
hahahha weee Fidel taratiiiibu babu wewe, ukisema wanawake wengi wachafu na usafi wa ndani unamaanisha nini? jamani hata huyo asiyesuka rasta anasafisha nywele kila siku? labda awe amenyoa upara au unga unga. wanawake walio wangi wanaenda salon weekend kutokana na majukumu hivi nikija kazini saa mbili natoka saa kumi na moja plus foleni ya magari saa nzima unaingia kwako saa moja, sasa hiyo salon utaenda saa ngapi? so muda mzuri kwenda salon ni weekend, na nywele ukizifanyia usafi kila wiki nna uhakika haziwezi kunuka unless una ugonjwa wa ngozi kichwani,Lakini ukweli unabaki pale pale idadi kubwa ya wanawake ni wachafu sana kwa ndani namtetea jamaa hapo juu huu ni ukweli nani hapa ajitokeze aseme ukweli katoka kusuka Rasta kwa mmasai alafu akaosha kichwa siku hiyo aseme hapa.
Ndugu yangu,
Huyo wa kwako mchafu hivyo ulimuibua wapi? Maana nijuavyo mimi usafi wa mwanamke ni kila kitu..... huyo anayekaa na minywele michafu wiki hadi sita ana tatizo la ukwasi! Mwezeshe ili awe msafi kama wanawake wengine!
Unaweza kuomba ushauri tukujuze usafi wa mwanamke unatakiwa vipi.
Massaging is a proffession for your info!
Wanawake wengi hawajui hata inaanzia vipivipi...!
Msiseme tena nawajia juu, hasa akina Wos na M`Jamii1, huo ndo ukweli bana!
Wewe binafsi unaonaje? Fuata moyo wako wala usijali wengine wanafanya nini.
Aaaaaaaaaaaaaaargh!!
Hakuna kitu kama hiki
Nilijaribu saaaaana kuwa karibu na Mwandani wangu ili tuoge pamoja.
Lakini, kadiri alivyozidi kunizowea, mambo yalianza kwenda mrama!
Shida kubwa ya kuoga na Mwanamke iko kwenye mambo ya nywele!
Inataka moyo sana kuoga na watu hawa, maana mara utasikia...ooooh unalowesha nywele zangu!!!......uuuuhhh!!! unaniloweshea rasta zangu..!! Wanawake ni wachafu sana, maana atakaa na zile nywele kwa wiki hadi 5 hazijagusa maji, japo wanajidai kupaka sijui ma nini.. sijui makemiko gani.....sijui ndo wanaita ma`enjoface, ..malipstick..mi siyajui!
Shiiit... tokea siku hiyo mimi sitaki lawama za kishenzi.
Hakuna sababu yoyote ya kuoga nao, mwache atangulie yeye kisha utafuatia wewe kwa raha zako..
Aaaahhhhh!!
Messaging haina uprofessional wote mimi sijawahi kuingia hata darasa la hiyo kitu lakini nimeshaambiwa nafaa sana kuingia katika hiyo profession. Ni kupay attention tu na kufuata maelekezo ya mlengwa. 🙂
Massaging is a proffession for your info!
Wanawake wengi hawajui hata inaanzia vipivipi...!
Msiseme tena nawajia juu, hasa akina Wos na M`Jamii1, huo ndo ukweli bana!