Kuoga na mume au mke wako...

Kuoga na mume au mke wako...

Kila nikisoma hizi thread za nini cha kufanya na kutokufanya ndani ya ndoa napata imani kuwa watu wengi wanacomplicate vitu simple sijui ndio mambo ya kutaka kuwa na perfect marriage.

Weekend njema.

Leo wapi? Pure au E.S.S.O?
 
aliolewa akaachwa na ana watoto watatu ambao wako kwa baba yao so anajua anachokifanya kwamba yupo pale kufanya kazi plus huwa nampa weekends kwenda kujirusha ili atulize mtima wake.

Vp huwezi kufanya connection hapo week end moja nimpleke ufukweni akapunguze machungu Agika? Maana anahitaji comfort ya hali ya juu
 
Wakati mwingine ni vizuri kuoga na mwandani wako kwani nayo hiyo yataka muda na wasaa na hasa ikiwa katika nyumba aidha yenu au mmepanga nyumba nzima hapo ni bbarabbara. lakini nyumba yenye wapangaji 10 na chumba cha choo na bafu ndo kimoja inakuwa ni karaha kwa wengine na kunaweza leta mzozo.
 
Mwanamke anakosha nywele baada ya week loooooooo wajameni
wapi tunakwenda na wapi tunatoka inavyotakiwa awe anakosha kila siku
kwa waisilamu baada ya miti wakimaliza ni lazma kuoga mwili mzima na raha
mnakoga pamoja inategemea nyumba kama nyumba za kushea vyoo itakuwa
vigumu
 
kuoga huko kunaraha sana,lakini kugo mi nijuavyo ni hali ya klowanisha kila kiungo cha mwili yaani kuanzia utosini kichwani mpaka kwenye unyayo mguuni,sasa huyo anayeoga bila kulowanisha nywele ameoga nini? amenawa tu huyo.!!
 
Mi sioni problem kabisa kwani kila mtu anastaili ya maisha yake. Kama kuoga na waifu kuna wafanya mshikamane zaidi hiyo nzuri ila kama ni uswazi na nymba zenyewe za kupanga bafu moja halafu chafu sana sijui inakuwaje hapo?
 
Back
Top Bottom