Mh hii imenikuna, mimi wakati wa uchumba wangu tuliweza oga muda mrefu tuu hata 45 min tukisuguana na bahati nzuri geto yangu mitaa ya mwenge kanisani pale maji yalikuwa ya DAWASA yalikuwa full time na ilikuwa ni shower, lkn kuna kitu sikuweza kuki notice wakati huoo, kumbe yeye hutumia maji mengi sana kujiswafi, baada ya kuhama pale tukapata house ambayo hakuna maji ya bomba ni kununua madumu so bafuni hakuna shower tena, kwa hiyo tukawa sasa tunatumia ndoo, hapo ndipo ugomvi wetu unapokuwa mkubwa, kwanza yeye hupenda aanze kuogeshwa yeye, pindi ukimaliza kumuogesha yeye ataendelea sasa kuosha mashine yake hahahaha hapo atatumia maji kibao tena so atlast mie ntabaki na robo ndoo na akimaliza anaona uvivu kuanza kuniogesha mie utasikia malizia basi mwenyewe, nadhani haya mambo yana wakati wake, hasa mwanzoni mwa mapenzi huwa ni kitu kitamu sana lkn kwenye ndoa mkisha zoeana mambo mengi sana huwa hayafanyiki tena hata wewe ukiwa interested mwenzi wako anaweza asiwe interested tena.