Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahhahaha fide naweee huwezekani wasema wapenda kujiexpresss your self , oooooh nimekumbuka wa hivyo hupenda mambo flani yalionenepeana kwenye uelekeo wa kichogo.Si wengine ndo size zetu hizo tunazipenda mamichellini aaaah raaaaaaha ukioga nalo hilo yaaani mnaoga pipa kabisa.
hahahahah mama taratiiiibu , usije ukaachwa bure kisa wanajamiiii....... mhhh simooo mchanga wa pwani uleeeeeeeeeeeKweli kuwa uyaone...ooh uyasikie. ngoja na mimi nijaribu leo kuoga na mzee...ni hapo sasa atakapowaka, nani kakufundisha? umeshaanza? nini? mambo ya kihuni? yapi? si hayo.......du ripoti kamili kesho.
Kweli kuwa uyaone...ooh uyasikie. ngoja na mimi nijaribu leo kuoga na mzee...ni hapo sasa atakapowaka, nani kakufundisha? umeshaanza? nini? mambo ya kihuni? yapi? si hayo.......du ripoti kamili kesho.
Aaaaaaaaaaaaaaargh!!
Hakuna kitu kama hiki
Nilijaribu saaaaana kuwa karibu na Mwandani wangu ili tuoge pamoja.
Lakini, kadiri alivyozidi kunizowea, mambo yalianza kwenda mrama!
Shida kubwa ya kuoga na Mwanamke iko kwenye mambo ya nywele!
Inataka moyo sana kuoga na watu hawa, maana mara utasikia...ooooh unalowesha nywele zangu!!!......uuuuhhh!!! unaniloweshea rasta zangu..!! Wanawake ni wachafu sana, maana atakaa na zile nywele kwa wiki hadi 5 hazijagusa maji, japo wanajidai kupaka sijui ma nini.. sijui makemiko gani.....sijui ndo wanaita ma`enjoface, ..malipstick..mi siyajui!
Shiiit... tokea siku hiyo mimi sitaki lawama za kishenzi.
Hakuna sababu yoyote ya kuoga nao, mwache atangulie yeye kisha utafuatia wewe kwa raha zako..
Aaaahhhhh!!
Mungu wangu umenichekesha mpaka basi, usemayo dada si uongo akiona ngozi kama barabara ya kokoto anatafuta mwenye ngozi laini kama ya mtoto mhhh mbona shughuli tunayo humu majumbani kwetu.Yaani!
Hii topic inachekesha sana lakini ina mafundisho mengi ndani yake kwa wote wanawake, wanaume, wenye wenza na wasiokuwa nao.
Wenye kuendekeza ushauri kama huo....ati omo ni multi purpose!
Halafu utakapoanza kukakamaa ngozi..akikugusa akisikia ngozi ngumu kama kenge..anajimuvuzisha taratiibu nyumba ndogo,,,, huko anakutana na baby soft skin! Utashangaa matokeo ya multi purpose.
Mwaya jitunze jipendezeshe kwa manufaa yako mwenyewe.
Mwenzangu hapana kwa Fidel maji yamezidi unga mwali hata siyavulii nguo mana siweziyaoga.....Hahahhahaha fide naweee huwezekani wasema wapenda kujiexpresss your self , oooooh nimekumbuka wa hivyo hupenda mambo flani yalionenepeana kwenye uelekeo wa kichogo.
MJ1 upo mama? utajiexpress? sio kesho na keshokutwa unaanza kuimba nyimbo za JIDEE 'Nakueleza aaah siri yangu ,inayohusu maisha yangu inayosumbua nafsi yangu'😡😕
Mkuu mosquito nimekupata yaani leo nimefunguka macho anataka anikamue eti kaona nguo hapo Mr.Price nimpe Ijumaa laki 1 aende akabebe nguo hiyo hapo hapo anasisitiza eti ooh dear jmosi nataka nikasuke za kimasai Msasani nikamwambia mbona Ilala pale wanasuka ooh wale wachafu duh sh.ngapi ooh dear nipe kama themanini itatosha.
Nimemjibu mama nimefulia.
Kweli kuwa uyaone...ooh uyasikie. ngoja na mimi nijaribu leo kuoga na mzee...ni hapo sasa atakapowaka, nani kakufundisha? umeshaanza? nini? mambo ya kihuni? yapi? si hayo.......du ripoti kamili kesho.
Shikuru JF imekufungua macho ungenyonywa weye mpaka hayo macho mwone vile !!! (joke)
Haya twasubiri ripoti kesho hapa jamvini, na wa kukmabidhi ni mimi manake ndo supika...sawa?😎
weeee tarattibu hebu babawe.... nani kakuappoint sipika???? hiyo ripoti twaisuniri kwa hamu na ghamu...
Nimevumilia lakini naona nimeshindwa.......... mwenzenu hii signature ya mtoa mada . mh eti.........
Achieving your target on a job is just like being pregnant;everyone congratulates you on the outcome but no one knows how many times you got fucked...!!!!
Nimevumilia lakini naona nimeshindwa.......... mwenzenu hii signature ya mtoa mada . mh eti.........
Achieving your target on a job is just like being pregnant;everyone congratulates you on the outcome but no one knows how many times you got fucked...!!!!
Shishi mama upo? Habari za kwa Nairobi?
Vp jana ulioga na mwenzio?
mm mie pia niliiona nikashindwa duh!!!! hebu tuipeleke kukle kwa complaints!