BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
...dah, 😀 mkubwa unaongea kwa uchungu sana! ha ha haaa... si utani ndugu yangu, yaonekana 'mvua unayoisimulia kweli imekunyea', tatizo kwenye majamvi kama haya hapakosekani wanafunzi,...hayajawakuta hao.
Binafsi hufurahia privacy ya bafuni kukimbia kelele za maza hausi,...akianza tu mie mbio as if nimeshikwa na tumbo la kuhara! Hizo za kukoga pamoja hata sikumbuki mara ya mwisho ilikuwa mwaka gani.
Ha ha ha ha Mbu maza hausi wengine hukufuata huko huko bafuni au nje ya bafu na kuendelea kubwata mpaka waridhike. Sasa anzisha utaratibu wa kuoga na mamsap at least mara moja kwa wiki utaona hizo kele za maza hasi wako zitakavyopungua 🙂