Kuogopa kununua Toyota Prius ni ushamba au umasikini

Kaka huuu uzi umenimalizia bisi zangu naomba naamba zako mi ni mpenzi mkubwa wa prius naomba ni dm namba yako aisee tupeane uzoefu
 

NJOMBE hizi chuma nimeziona kadhaa, af zote nlizoziona ni
Usajili wa E na wana wanapigia TAX[emoji119][emoji119]
Kesho nikiiona hata moja ntaleta picha hapa
 
Tupe real experience sasa. hasa matumizi ya wese.
napata 25KM/L,... Very efficient car, practical , dependable, less maintenance cost than regular cars ie oil change internal yake ni kubwa kuliko regular car, transmission fluid Yake hubadiri kama regular car, brake pads zake hubadili kama regular, ina nguvu nyingi kwakua inatumia mota kuendesha gari na mota ina instant torque ( 200+). bull
 
Mkuu kwem vp mpk umeitoa bandarini imelamba kweny ngap
 
Kununua hybrid car ilikuwa ni mojawapo ya maamuzi magumu kuwahi fanya, kila mtu alinikatisha tamaa, lakini sasa ni zaidi ya mwaka na sijutii maamuzi. Consumption ni mpaka 27km/l kutegemeana na uendeshaji. Hakuna service yoyote niliyofanya zaidi ya kubadili oil na oil filter
 

Attachments

  • IMG_20230327_080528_329.jpg
    461.8 KB · Views: 16
Hongera mkuu. Hii ni Honda fit?
 
Pamoja sana mkuu. Nilikua na same debate ya Prius 2010 (gen 3) na Mazda 6, sema nikaenda na SkyActiv.

Niliendesha Prius gen 3 mara kadhaa ya mshikaji. Moja tulizunguka misele hapa mjini, masaa mengi ile consumption ni amazing, pili tulienda mkoa, kidogo consumption ilishuka.

Mjini tulipata hadi 30km/L kwasababu nadhani speed ndogo muda mwingi ilikua inaenda full EV.

Mkoa (Dar to Dodoma) ilishuka ikawa kwenye 22-24 tulisahau kucheki average tulivofika Dom tukaendelea kuzunguka hadi kesho yake.

Nilichoona mimi ni nzuri sana sana sana kama daily driver hapa mjini. Especially kwa bei izi za mafuta zisizo tabilika.

Ukibanwa na budget unaweza nunua Toyota Prius C (Aqua) nimeona ni cheap zaidi.

Pia Honda Insight sio mbaya ila ina muonekano copy kwa Prius na ukiwa unapendwa compact, nimependa Honda Fit Hybrid (GP5).

Ila nitarudi Hybrid lazima ndani ya miaka hii mitatu.

Maana tunaenda kwenye EV. Kila mtu anatamani 5-10 years ijayo amiliki EV.
 

Mi napenda sana full electric

Sijaona Tesla bongo hata zile model za mwanzo

Issue hapa ni gharama au charge stations

Nmereview model 3 na self pilot features
Asee Tesla is very promising
The future is in safe hands
 
Thanks for the compliment, Very excellent consumption. Natumia Honda Insight. So far very realible
 
Jamaa yangu anayo kama hii pichani gari kali kinoma. Dar-Tanga wese la 50K anatumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…