Kuogopa kununua Toyota Prius ni ushamba au umasikini

Huu uzi bila uwepo wako ulikuwa unakosa ladha. Ahsante kwa kuja.
 
Humu naona hapanifai wengi wanazungumzia wese la hybrid cars comfortability sijaona ..unaingia kwenye gari unakaa Kama kwenye kigoda

Siku ukiomba lift kwa IT wenye wanapeleka v8 nchi tofauti hata Kama Ni za 2010 utaona utofauti mkubwa Sana au hizi LC300


Kwanza me gari Kama hailii Kama Simba siitaki

Niliendesha 1VD LX nili enjoy Sana na cruiser war bus lenye 1VD exhaust kubwa ukikanyaga unapata attention
 
Gari yeyote ya chini sinunui hata iwe benzi new model gari za chini hovyo kabisa mwanamke kuingia kukaa kwenye usukani hadi chupi au skin tight ionekane kwa walio nje unapoingia kwenye.gari

Napenda gari zilizoinuka hiyo Primus dereva mwanamke kuingia seat lazima skin tight ionekane kama umevaa ki.mini

Gari zote zachini ambazo kuingia lazima kuchuchumaa kama unataka kujisaidia haja kubwa kuingia ndani sinunui
 
Mi napenda sana full electric

Sijaona Tesla bongo hata zile model za mwanzo

Issue hapa ni gharama au charge stations

Nmereview model 3 na self pilot features
Asee Tesla is very promising
The future is in safe hands
Mkuu ukitaka experience EV nashauri anza na za Mjapan mfano Nissan Leaf nimeona sio mbaya, au Prius za Kuchaji (Prium Prime) sio mbaya ingawa sio full EV.

Kwa ninavyojua Tesla, ukiwa nayo kwa Tanzania itakusumbua sana. Kwasababu wale jamaa gari ikiharibika hauendi Ilala kununua spea, unaweka booking unapeleka gari (kama inaweza kutembea) au unabeba unaipeleka kwenye station zao, unaacha funguo, unasepa.

Utatumiwa email ya quotation, utalipa, itafanyiwa kazi, utaambiwa ifuate au mtu ailete. Over.

Yaani sio unaenda unaanza waambia nikiwasha inatetemeka sijui nn wala nn. Wanadeal nayo wenyewe we tulia tu.

Inamaana kupata spare ni jambo gumu gumu gumu sana labda ukute mtu anauza kutoka kwenye gari imeharibika iko beyond repair.

Ila najua watakuja watu watatengeza 3rd part.

Cheki China Kuna EV zimetoka aisee nusu bei ya Tesla, mfano Polestar 2.


Interior yake imekaa unyaki sana.


Pia, mpinzani wa Tesla Lucid Air mcheki nae noma.
 
Sawa Big Boss
 
Hahaa kipenda roho inaitwa mzee. Mi nilikua na Runx watu wakawa wanasema niinyanyue, ndio kwanza nikaitia coilovers. Aisee ilikua matuta aya ya Morogoro Rd nayakata ndio navuka.

Sa nikaja kwa wajerumani ndio kabisaa, ile stock tu inakuja ipo chini, panya chini hapiti. Aisee.

Ila nikiendesha gari za juu kuna kitu uwa nakiona ni advantage, ila sio cha kunishawishi niamie uko.

Sedan for life.
 
Sawa tajiri Mukulu 🤣 watu wanatafuta Economy kwenye Prius usiwacheke wese ni 3100 kwa Dar bei ya sasa
 
Mkuu nakuomba dm
 
Mkuu Prius inaendeleaje?
 
Hivi alphard hybrid inakwenda km ngapi kwa lita?
 
Nissan leaf mpaka inafika mkononi inaweza gharimu kiasi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…