Kuolewa raha!

Kuolewa raha!

Acha kupaniki kwani nilikushika mkono uandike upuuzi wako?
Halafu ukiwa mwongo uwe na kumbukumbu sio unaendekeza unyumbu wako hapa
HAVE A MIDDLE FINGER...
Hahahahaha! Naona nimegusa lenyewe mpaka umeruka pole vipi ukisikia honi ya gari?
 
Jamani kumbe kuolewa ni raha hivi,
Ukiwa jikoni mume huyu hapa,

Ukienda chumbani utasikii vipi sweetie,

Mkiwa na kamtoko utafunguliwa mlango wa gari wewe ni kuingia na kukaa kisha mlango wa fungwa,

Ukikohoa kidogo utasikia vipi babe unaumwa?

Ni full raha, yaani raha.

Asante mume wangu.
Unazo ndoto kubwa kubwa, hivi ushapata mtoto?
 
hahahahahahahaha
atleast mwaka haujaisha tumepata thread ya utamu wa NDOA maana tulichoshwa na zenye vilio kila kukicha
 
Back
Top Bottom