MkimbizwaMbio
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 868
- 331
Again. . . What works for you is good for you. Kwahiyo kama wewe kanuni inayomtaka/lazimu mwanamke kushughulika peke yake kwenye mahusiano ndio inayokuongoza wewe, na inakusaidia basi stick to it.Haki unayo.
Out of the point.
Dada Lizy kwa nini hutaki kutii hiyo ni amri kutoka kwa mungu. Ukipambana nayo utaumia dada. Wewe tii kwanza utaona kama mwenzi wako hatakupenda. Kichwa ngumu ndicho kinachowamaliza nyie.
Unaona wewe mwenyewe umeonesha hizo tabia kwa njia hiyo hiyo ni vigumu sana kuwa na ndoa nzuri.Kutaka kwangu au kutokutaka hakuwezi kudhihirishwa na nilichoandika hapo. Binafsi siwezi mtii mtu asiyestahili utii wangu, na mtu mpaka astahili utii wangu lazima afanye kazi yake. Kwahiyo hiyo sijui mtii ndio awe hivi au vile sio yangu maana haina tofauti na wale wanaoolewa na waume wanyanyasaji/waliokosa uaminifu wakijidanganya kwamba "tukiwa kwenye ndoa ATABADILIKA". Awe mzuri kwanza ntampa utii na heshima yangu yote, ila sitomhonga utii na heshima ili awe mzuri.
sidhani kwani attention yake itakuwa huko... atanispoil saa ngapi wakati muda mwingi atakuwa nawaza mengine kama hataniabuse?
Mume anatakiwa awe na akili timamu 24/7, so mlevi na teja wanahusika hapa. Mume anatakiwa aniwaze 24/7, hapa malaya anahusika. Mume anatakiwa a provide, hapa king'asti anahusika. Mume anatakiwa tushauriane na tukosoane kama watu wazima na sio kupelekesha mke kama mtoto au gari bovu, hapa abuser anahusika.
Ama kweli kuolewa rahisi ila kupata mume kazi.
Anawadanganya wenzake tu hapa wapewe talaka, yeye akiwa kwa mumewe adabu mbele na analala bila chupi!!Out of the point.
Dada Lizy kwa nini hutaki kutii hiyo ni amri kutoka kwa mungu. Ukipambana nayo utaumia dada. Wewe tii kwanza utaona kama mwenzi wako hatakupenda. Kichwa ngumu ndicho kinachowamaliza nyie.
Unaona wewe mwenyewe umeonesha hizo tabia kwa njia hiyo hiyo ni vigumu sana kuwa na ndoa nzuri.
Yaani kumtii mtu mpaka afanye kitu. Yaan kile kitu tu cha kuitwa mme au boyfrend kinatosha sana. AKILI KUMKICHWA
Kutaka kwangu au kutokutaka hakuwezi kudhihirishwa na nilichoandika hapo. Binafsi siwezi mtii mtu asiyestahili utii wangu, na mtu mpaka astahili utii wangu lazima afanye kazi yake. Kwahiyo hiyo sijui mtii ndio awe hivi au vile sio yangu maana haina tofauti na wale wanaoolewa na waume wanyanyasaji/waliokosa uaminifu wakijidanganya kwamba "tukiwa kwenye ndoa ATABADILIKA". Awe mzuri kwanza ntampa utii na heshima yangu yote, ila sitomhonga utii na heshima ili awe mzuri.
Sasa weweee. . .
Kama unaona kuwa mzuri ndio utiiwe sio haki kwasababu unatakiwa kufanya kitu kwanza kwanini unataka utiiwe kwanza ndio uwe mzuri kwa mwenzako? Maana nayo ni ile ile, unataka YEYE afanye kitu (kukutii) ndio umwie mzuri. Awe mtiifu UWE MZURI (hiyo ni kanuni yako) ,AWE MZURI nimtii (hiyo ni yangu).
Swala la kusema mtu kuitwa boyfriend/mume tu inatosha kutiiwa sijui kuheshimiwa inaweza ikaapply kwa wengine bali sio kwangu. Kwangu hayo ni majina pekee hata sanamu inaweza ikapewa. Heshima inapatikana kwenye matendo na sio majina. Siwezi kumtii mwanaume anaelewa na kurudi kushusha mtusi na kipondo juu, anaetoka nje ya mahusiano na asiyeniheshimu. Kwa maana nyingine mimi sio limbukeni wala siko tayari kuwa kwaajili ya ntu yeyote yule. The same goes for me, sitegemei wala sitaki mwanaume anipende kama simtendei haki na akifanya hivyo ntamwona ni limbukeni. Ndio maana kuna wanaume wanaonewa sana na wake/wapenzi wao. . .kwasababu wamekubali kuwa malimbukeni.
mchele wako uko wapi wewe binti?Pumba express.
Labda wanakufaa wewe.
Kama unayoandika ndio misimamo yako, duh kuolewa kwako ni bahati sana na utegemee kuachwa na mume wako au kuwa na nyumba ndogoKwani tangu lini ndoa ikawa rahisi?
Ingekua rahisi kila anaeingia angekua anacheka na kutabasamu 24/7 kwa siku 365 na watu wasingetoka.
Kwani tangu lini ndoa ikawa rahisi?
Ingekua rahisi kila anaeingia angekua anacheka na kutabasamu 24/7 kwa siku 365 na watu wasingetoka.
Kweli mkuu. wamepoteza welekeoNamshukuru mungu nilipata mke mtiifu na mwenye busara, nami nampenda sana. Anajua fika kuwa yeye ni Mke na anatambua kuwa mimi ni Mume. Nina furaha sana. Hii jamii ya wanawake wa leo , kadri wanavyoelimika, wanazidi changanyikiwa na kusahau maadili yao.