Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Ndoa nyingi za waliotalikiana na kurudiana huwa hazidumu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilikutana nae bila kutarajia. Wasiwasi ndio akili mkuu, pengine alidandiwa, akinitaja na mm? 😅😅😅We jamaa muoga sana. Atakuw amechoka zaid na million zake kalewea zote
Atakuw amezeekasa sana sio kwa kumpotezea😬
Hahaha wanaweza wakawa kati ya wachache watakaotoboa ila ndoa za wengi wa aina hiyo ziko chali nyingine zinapumulia mipiraKuna jirani yangu namcheki huu mwaka nne ngoja nione kama wataachana