Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Nilikutana nae bila kutarajia. Wasiwasi ndio akili mkuu, pengine alidandiwa, akinitaja na mm? π π πWe jamaa muoga sana. Atakuw amechoka zaid na million zake kalewea zote
Atakuw amezeekasa sana sio kwa kumpotezeaπ¬
Hahaha wanaweza wakawa kati ya wachache watakaotoboa ila ndoa za wengi wa aina hiyo ziko chali nyingine zinapumulia mipiraKuna jirani yangu namcheki huu mwaka nne ngoja nione kama wataachana