Kuolewa ukaachika au kutoolewa kabisa, kipi bora?

Kuachika bora watu wanaweza kukuelewa kuwa ni changamoto zilizokufanya ndoa ikakushinda ila at least umejaribu.
Usipoolewa kabisa sasa wataanza mara una gundu mara malaya yaani kila neno baya lako.
Mmh!
Kwa hiyo bora kuachika?
 
Muhimu kuvaa shera mengine maigizo watu wanakimbilia mashera baada ya shera wanasahau majukumu yao hivo kupelekea kuachika.
 
Bora upate CHETI alafu ufeli, kuliko ufeli alafu upate CHETI

Mtazamo tuu!
 
Bora alieolewa akatoa gundu na kuliko aliebak na gundu lake forever
 
Aisee bora kuolewa watasema aliolewa ila changamoto za hapa na pale akaachika, kuliko kutoolewa kabisa!!!
 
Kuna upande wa yote sawa wote wanakuwa single ila upande mwingine anayeafadhali aliyeujaribu mziki hata kama bolingo alicheza rege inategemea na mudi yote kucheza......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…