Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmh!Kuachika bora watu wanaweza kukuelewa kuwa ni changamoto zilizokufanya ndoa ikakushinda ila at least umejaribu.
Usipoolewa kabisa sasa wataanza mara una gundu mara malaya yaani kila neno baya lako.
Yeah kwa upande wangu.Mmh!
Kwa hiyo bora kuachika?
Hao ndo wengi utasikia natamani mtoto nitamlea mwenyewe na anaongeza na kusema wanaume hamwelewekiSasa hiv wanataka Mimba Ndoa ni Bonus tu
Hahahha,mbavu zanguuuBora kutoa gundu aisee
Kabisa yaanHakuna hata chenye ubora.
tehe tehe tehe mpaka huku unataka vyeti
Olewa, ukichoka achika...kuolewa ukaachika baada ya mda mfupi ukaonekana hujatulia.
au kutoolewa kabisaa ukaonekana bahati huna? Bora kipi et